Licha ya Namibia kuwa na Watu Milioni 3 na Kutajwa Ndio Nchi Yenye Maendeleo Afrika ila Watu wake Hawana Ajira Kwa asilimia 37%.

Chukua hii kuhusu Rwanda,

Shirika bora la ndege Africa-RwandaAir

Jiji safi an salama zaidi Africa -Kigali

Mojawapo ya nchi 5 zenye kiwango kidogo zaidi cha rusha Africa-Rwanda

Nchi inayoongoza kwa urahisi wa kufanya biashara Africa Mashariki-Rwanda

Idadi ya watalii kutoka nje kwa mwaka-Milioni 1.5

Haya yote yamefanyika ndani ya miaka 30 tu.
Rwanda Air ipate wapi hiyo status?

Mwisho mbona hayo yote yameshindwa kuitoa hiyo Nchi kwenye kundi.la LDC?
 
Wewe umefika Namibia uone life standard yao mkuu. Ukilinganisha na wabongo ni kifo na usingiz
Sihitaji kufika na kuona ,natumia takwimu rasmi za Serikali ya Namibia.

Kwani nikifika ndio nini labda?
 
Sasa unaweza kukuta hawana ajira ila elimu hospital miundombinu umeme maji vipo tena kwa bei nzur.
Huna hela hata vikiwa Kwa bei nzuri utawezaje ku mudu? Kazi ni kipimo Cha utu,binadamu hafugwi.

Mwisho ushindwe kutoa Ajira Kwa watu harafu hela za kuendesha hayo mambo utatoa wapi? Saizi ndio wanahaha kwamba Mafuta waliyogundua labda yatawasaidia kuwa na maisha Mazuri
 
Afrika ndio bara pekee ambalo ukiruka kwa ndege toka kona moja hadi nyingine, ukiangalia chini utaona vichaka tuu na giza nene. No wonder inaitwa the dark continent.
 
Huna hela hata vikiwa Kwa bei nzuri utawezaje ku mudu? Kazi ni kipimo Cha utu,binadamu hafugwi.
Huna hela kivip nakuambia serikali inaboresha in affordable price. Na unavyosikia ajira wanamaanisha kwa mwaka vyuo vinamwaga mfano elfu 2000 man power lakin ajira ni 500 so wengine wanafanyabiashara, vibarua nk. Mi nina duka windhoek. Na hawa jamaa ukiacha wa Hembu wale wanakandika nywele ukienda huko mikoan wapo vizur sana. Huwez kulinganisha na hapa kwetu sema nchi yao ni kubwa ila jangwa haina watu kabisa.
 
Ndio hawana Ajira Sasa,ni kazi ya Serikali kuwatengebezea mazingira ya Ajira ukiona imeshindwa tafsiri Yale ni kwamba Uchumi umedorora sio tuu wa Ajira Hadi kwenye Huduma ulizotaja.
 
Mkuu huko kuna bodaboda, wamachinga, wapiga debe stendi na watembeza maji, pipi na ukwaju kwenye madeli barabarani?
 
Sawa ndo mkienda huko lazima mrudi na nyie mmevaa bracelets za bendera ya Kenya na kuongea kama wao? Mbona wao wakija bongo wanaondoka kama walivyofika.
Bracelets za Kenya hapa bongo zinavaliwa hadi na watu ambao hawajawahi kutoka hata nje ya mkoa wao tu.
Labda tujiulize kwa nini Bracelts za bongo hazipendwi sana.
 
Mkuu huko kuna bodaboda, wamachinga, wapiga debe stendi na watembeza maji, pipi na ukwaju kwenye madeli barabarani?
Kuna miji wapo ila kwa mpangilio maalumu sio kama huku kwetu. Na watu ni wachache sana . Kwa mfano jpili windhoek ni kama wamefiwa hakuna mtu njian
 
Ndio hawana Ajira Sasa,ni kazi ya Serikali kuwatengebezea mazingira ya Ajira ukiona imeshindwa tafsiri Yale ni kwamba Uchumi umedorora sio tuu wa Ajira Hadi kwenye Huduma ulizotaja.
Cwez kushindana na wewe mkuu. Ila nakuambia kwa africa hasa kusin mwa jangwa la sahara. Hakuna nchi watu wake wanaish standard life kama Namibia na ushelisheli au Mauritius, Ukiwa unatembea ndio utajua tofauti na hizi pambio unazoimbiwa hapa nyumbani. Na unavyosikia marekan uchumi wake umekuwa kwa mwaka kwa asilimia moja wakati huo huo Tanzania uchumi umekuwa kwa asilimia 5 usifikiri tumewapita chief.
 
Bracelets za Kenya hapa bongo zinavaliwa hadi na watu ambao hawajawahi kutoka hata nje ya mkoa wao tu.
Labda tujiulize kwa nini Bracelts za bongo hazipendwi sana.

Sababu wabongo are inferior naturally, wanaona wakijinasabisha na ukenya kwa namna yeyote ile wataonekana wajanja. Usiombe wafike kabisa Nairobi utachoka.
 
Back
Top Bottom