ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Cwez kushindana na wewe mkuu. Ila nakuambia kwa africa hasa kusin mwa jangwa la sahara. Hakuna nchi watu wake wanaish standard life kama Namibia na ushelisheli au Mauritius, Ukiwa unatembea ndio utajua tofauti na hizi pambio unazoimbiwa hapa nyumbani. Na unavyosikia marekan uchumi wake umekuwa kwa mwaka kwa asilimia moja wakati huo huo Tanzania uchumi umekuwa kwa asilimia 5 usifikiri tumewapita chief.
View: https://x.com/stats_feed/status/1886914381486977464?s=19