Licha ya Namibia kuwa na Watu Milioni 3 na Kutajwa Ndio Nchi Yenye Maendeleo Afrika ila Watu wake Hawana Ajira Kwa asilimia 37%.


View: https://x.com/stats_feed/status/1886914381486977464?s=19
 
Hatujui kama wewe ni Mtusi au Mhutu ila tunachokua upo kazini kuinadi Visit Rwanda na ndiyo kwenu
 
Namibia ina viongozi vichwa maji kabisa, unashindwaje ku-manage watu mil 3,je kiongozi huyo akipewa nchi kama Tanzania itakuwaje?, ardhi kubwa ya Kilimo ipo, bend that citizen into agriculture and finance them all.
Nina mashaka sana kama raia wa Namibia wanapenda shule (I said nina wasiwasi, sina hakika ) kama population yao ndio hiyo then why madaktari, ma engineer na hata wahasibu wengi ni kutoka nje ya Namibia? Kuna wabongo wengi sana Namibia, hadi wataalamu wa mazingira, how? Why? Halafu same people wanalalamikia unemployment? Interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…