Licha ya Tume kutoaminika, unawezaje kufanya uchunguzii wakati CDF, IGP na DGIS wakiwa bado wako ofisini?

Licha ya Tume kutoaminika, unawezaje kufanya uchunguzii wakati CDF, IGP na DGIS wakiwa bado wako ofisini?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Ukiacha madai kuwa Rais mwenyewe anayeunda Tume ni mtuhumiwa, unawezaje kuunda Tume ya uchunguzi wakati wakuu wa vyombo vya ulinzi na uslama kwa maana ya Mkuu wa Majeshi ( CDF), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) wakiwa bado ofisini?

Na hawa viongozi wenye dhamana kubwa sana ya Usalama wa nchi na watu wake, wamekosa kabisa busara ya kujiuzulu au wamekataliwa kujiuzulu?

Afrika bado sana!!!
 
Ukiacha madai kuwa Rais mwenyewe anaeunda Tume ni mtuhumuwa, unaweza kuunda Tume ya uchunguzi wakati wakuu wa vyombo vya ulinzi na uslama kwa maana ya Mkuu wa Majeshi ( CDF), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) wakiwa bado ofisini?

Na hawa watu, wamokosa kabisa busara ya kujiuzulu au wamezuiwa kujiuzulu?

Afrika bado sana!!!
Mimi naona wanamuingiza kwenye kaburi lake taratibu bila kujua.

Muda utaongea
 
Sio IGP ,CDF au DGIS ...wanatakiwa kuwajibika ni wengi
Ngoja nikupe list ndogo
RPC Dar
ZCO Dar
RC Dar
RPC Arusha
RC Arusha
RPC na RC Mwanza
RPC na RC Songwe, Geita, Mbeya
RPC na RC Mara
Na baadhi ya DC wa maeneo
Inabidi wote wapishe ofisi waweze kuchunguzwa ila hio tume ya uchunguzi sio pendekezo la wananchi ni genge lake yeye aliewachagua, what do you expect?
 
Hii nchi inanichosha sana Baba yenu

images (1).jpeg


InaumaSana/ItHasAForkVery
 
IMG_8069.jpeg


Hii picha ina akisi msemo, “a picture speaks a 1000 words”.

Haijawahi tokea (au mimi kuwai ona) toka tupate uhuru raisi akipiga picha na viongozi wote wa vyombo vya usalama na ulinzi.

Kuna salamu hapo zimetumwa indirectly
 
Ukiacha madai kuwa Rais mwenyewe anaeunda Tume ni mtuhumuwa, unawezaje kuunda Tume ya uchunguzi wakati wakuu wa vyombo vya ulinzi na uslama kwa maana ya Mkuu wa Majeshi ( CDF), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) wakiwa bado ofisini?

Na hawa viongozi wenye dhamana kubwa sana ya Usalama wa nchi na watu wake, wamekosa kabisa busara ya kujiuzulu au wanazuiwa kujiuzulu?

Afrika bado sana!!!
Subirini Taarifa itolewe ili mnyolewe. Kwikwikwikwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom