Licha ya Tume kutoaminika, unawezaje kufanya uchunguzii wakati CDF, IGP na DGIS wakiwa bado wako ofisini?

Licha ya Tume kutoaminika, unawezaje kufanya uchunguzii wakati CDF, IGP na DGIS wakiwa bado wako ofisini?

Ili uchunguzi uwe huru yapaswa wanaohusika kwanza wakae pembeni ili wasije zuia au haribu uchunguzi.
Na uchunguzi ili uwe huru yapaswa ihusishe watu huru kutoka nje ya Tanzania
 
Sio IGP ,CDF au DGIS ...wanatakiwa kuwajibika ni wengi
Ngoja nikupe list ndogo
RPC Dar
ZCO Dar
RC Dar
RPC Arusha
RC Arusha
RPC na RC Mwanza
RPC na RC Songwe, Geita, Mbeya
RPC na RC Mara
Na baadhi ya DC wa maeneo
IMG-20250419-WA0045.jpg
 
Ukiacha madai kuwa Rais mwenyewe anayeunda Tume ni mtuhumiwa, unawezaje kuunda Tume ya uchunguzi wakati wakuu wa vyombo vya ulinzi na uslama kwa maana ya Mkuu wa Majeshi ( CDF), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) wakiwa bado ofisini?

Na hawa viongozi wenye dhamana kubwa sana ya Usalama wa nchi na watu wake, wamekosa kabisa busara ya kujiuzulu au wamekataliwa kujiuzulu?

Afrika bado sana!!!
Kazini kuna kazi mkuu ila kumeisha kuchwa , asema Bwana
 
Back
Top Bottom