Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Inabidi wapishe uchunguzi hawawezi wakachunguzwa wakati bado wapo ofisini...Na hawa watu, wamokosa kabisa busara ya kujiuzulu au wamezuiwa kujiuzulu?
Mimi naona wanamuingiza kwenye kaburi lake taratibu bila kujua.Ukiacha madai kuwa Rais mwenyewe anaeunda Tume ni mtuhumuwa, unaweza kuunda Tume ya uchunguzi wakati wakuu wa vyombo vya ulinzi na uslama kwa maana ya Mkuu wa Majeshi ( CDF), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) wakiwa bado ofisini?
Na hawa watu, wamokosa kabisa busara ya kujiuzulu au wamezuiwa kujiuzulu?
Afrika bado sana!!!
CIC ni nani?Umemsahau na CIC nae inabidi awe nyuma ya nondo...
Inabidi wote wapishe ofisi waweze kuchunguzwa ila hio tume ya uchunguzi sio pendekezo la wananchi ni genge lake yeye aliewachagua, what do you expect?Sio IGP ,CDF au DGIS ...wanatakiwa kuwajibika ni wengi
Ngoja nikupe list ndogo
RPC Dar
ZCO Dar
RC Dar
RPC Arusha
RC Arusha
RPC na RC Mwanza
RPC na RC Songwe, Geita, Mbeya
RPC na RC Mara
Na baadhi ya DC wa maeneo
Unachoka nini tena?
Hakuna nia njema zaidi ya kucheza na akili za wataanza lakini wajue wanajidanganya.Inabidi wote wapishe ofisi waweze kuchunguzwa ila hio tume ya uchunguzi sio pendekezo la wananchi ni genge lake yeye aliewachagua, what do you expect?
Yeye mwenyeweCIC ni nani?
Ww umeona wap Uchunguzi wa namna hiyo?Unachoka nini tena?
Hakuna uchunguzi hapo mambo ya kijingajinga tu hapo kupoteza muda kwa sababu December 9 inakuja kuwaadabisha...Ww umeona wap Uchunguzi wa namna hiyo?
InaumaSana/ItHasAForkVery
Subirini Taarifa itolewe ili mnyolewe. KwikwikwikwikwikwikwiUkiacha madai kuwa Rais mwenyewe anaeunda Tume ni mtuhumuwa, unawezaje kuunda Tume ya uchunguzi wakati wakuu wa vyombo vya ulinzi na uslama kwa maana ya Mkuu wa Majeshi ( CDF), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) wakiwa bado ofisini?
Na hawa viongozi wenye dhamana kubwa sana ya Usalama wa nchi na watu wake, wamekosa kabisa busara ya kujiuzulu au wanazuiwa kujiuzulu?
Afrika bado sana!!!
Salamu kwa nani?Kuna salamu hapo zimetumwa indirectly