Licha ya Tume kutoaminika, unawezaje kufanya uchunguzii wakati CDF, IGP na DGIS wakiwa bado wako ofisini?

Ili uchunguzi uwe huru yapaswa wanaohusika kwanza wakae pembeni ili wasije zuia au haribu uchunguzi.
Na uchunguzi ili uwe huru yapaswa ihusishe watu huru kutoka nje ya Tanzania
 
Sio IGP ,CDF au DGIS ...wanatakiwa kuwajibika ni wengi
Ngoja nikupe list ndogo
RPC Dar
ZCO Dar
RC Dar
RPC Arusha
RC Arusha
RPC na RC Mwanza
RPC na RC Songwe, Geita, Mbeya
RPC na RC Mara
Na baadhi ya DC wa maeneo
 
Kazini kuna kazi mkuu ila kumeisha kuchwa , asema Bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…