Licha ya umeme kufika kila mji na kila kijiji lakini wateja wenye umeme ni mln 5.2 tu out of 65mln people. Kuna umaskini mkubwa sana nchini

Kwa taarifa hizi za majengo yaliyokamilika yapo 10K maana yake asilimia 50% ya Watanzania wameunganishwa umeme
Kumbuka taarifa ni ya Hadi disemba 2024,na rejea ya sensa ni agasti 2022 do kuna ongezeko la watu na Makazi pia.

Mwisho Tanesco inasema wataje haisemi kaya,wateja sio kaya pekee ni pamoja na viwanda,migodi, taasisi,majengo ya serikali nk so hakuna 50% kama unavyosema wewe.

Ukihusisha vyanzo vinginevyo vya umeme Nje ya Tanesco/Gridi ndio utapata hiyo 50%
 
Watz hamjielewi,Samia alishusha bei ya kuunganisha umeme ikawa 27000, mkajifanya kumlaumu wakati alikuwa na lengo zuri mama wa watu.
 
Watz hamjielewi,Samia alishusha bei ya kuunganisha umeme ikawa 27000, mkajifanya kumlaumu wakati alikuwa na lengo zuri mama wa watu.
Wewe ndio huelewi kabisa,bei ya 27,000 ilikuwepo Toka awamu ya Mwendazake na inaendelea Hadi Sasa.

Shida sio 27k Bali uwezo wa kupata hiyo hela,kulipa Kila mwezi na kufanya wiring ambapo Kwa pamoja sio chini ya 600k.

Kijijini nani anayo hela hiyo kirahisi rahisi tuu?.
 
Bei ya kuunganisha umeme kwa mjini ilishushwa alipoingia Samia,ila ya vijijini ya muda mrefu tangu Kikwete
 
Bei ya kuunganisha umeme kwa mjini ilishushwa alipoingia Samia,ila ya vijijini ya muda mrefu tangu Kikwete
Wacha porojo bwana,27k ipo Vijijini na Vitongoji vya Kwenye Miji vinavyotambulika kama Vijiji
 
Kuna tofauti kati ya kaya na nyumba, kuna nyumba zina kaya 2-5, hizo takwimu zinasemaje.
 
Mzee wa takwimu, maeneo mengi nchini bado hayana umeme na hata yale yenye umeme sio wa uhakika.
 
Kwanza ni uongo kuwa Kila Kijiji kimeunganishwa umeme Nchi nzima.Hivi ninyi mmezaliwa mjini na mmekulia mjini na hajawahi kutembelea vijijini?
 
Ukijumlisha na waume,na wake na watoto na House girls wao na wategemezi wanaoishi nao ambao pia hufaidi huo umeme idadi itaongezeka sana tu
Kabisa mkuu mwisho wa siku utakuta wasio tumia umeme ni wachache saana
 
Data za majengo ni uhakika sana tena hapo ni yale yaliyokamilika na ambayo hayajakamilika kutoka kwenye sensa.

Kwamba Kila Mtanzania anatakiwa kufikwa na umeme kwenye kaya yake View attachment 3204136
Uko vzr ubishani kwa maneno ila unabishana kwa takwimu watu km nyie ni muhimu sana ktk jamii na taifa

Na watu km nyie ndo mnafanya JF kuonekana ina wasomi na watu wenye uwelewa mkubwa sana wa mambo
 
Sasa kama watu hawana kazi na umeme unataka waunganishe tu?

Embu tingisha vizuri kichwa kabla ya kukitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…