Pa-Paa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 916
- 1,363
Madhara ya Elim bure.Akili hana huyo mleta mada na pia mbishi huyo hatari
Kafikia ukomo wa kuelimika au kuelimishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madhara ya Elim bure.Akili hana huyo mleta mada na pia mbishi huyo hatari
Kafikia ukomo wa kuelimika au kuelimishwa
Kumbuka taarifa ni ya Hadi disemba 2024,na rejea ya sensa ni agasti 2022 do kuna ongezeko la watu na Makazi pia.Kwa taarifa hizi za majengo yaliyokamilika yapo 10K maana yake asilimia 50% ya Watanzania wameunganishwa umeme
Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni 14.3 yenye umeme ni majengo 5.2mln sawa na asilimia 37% tuu.
Sijajua kama wao Tanesco wanafurahia hii namba au hapana ila idadi hii inatoa picha halisi ya Hali ya maisha duni Kwa Mtanzania.
Just imagine licha ya umeme kufika Kila Kijiji na Kila Mji ten akiwa gharama kubwa lakini connectivity Rate ni ndogo sana.Tulikiwa tunasingizia Umeme kutokuwepo ila kiuhalisia shida sio umeme Bali pesa za kulinganisha na kulipia huo umeme.
View: https://www.instagram.com/p/DE5pkF7MNIx/?igsh=MWVtZjkxdGQ2YTd5OQ==
My Take
Serikali na watu wa mipango Kuna Kasi ya kufanya kukuza kipato Cha mwananchi,mkiendelea na miradi ya mabilioni Ili mpigie picha kuwafurahisha hao hao maskini licha ya kwamba haiwanufaishi Kuna siku mtakuja kuumbuka.
View attachment 3204170
Wewe ndio huelewi kabisa,bei ya 27,000 ilikuwepo Toka awamu ya Mwendazake na inaendelea Hadi Sasa.Watz hamjielewi,Samia alishusha bei ya kuunganisha umeme ikawa 27000, mkajifanya kumlaumu wakati alikuwa na lengo zuri mama wa watu.
Bei ya kuunganisha umeme kwa mjini ilishushwa alipoingia Samia,ila ya vijijini ya muda mrefu tangu KikweteWewe ndio huelewi kabisa,bei ya 27,000 ilikuwepo Toka awamu ya Mwendazake na inaendelea Hadi Sasa.
Shida sio 27k Bali uwezo wa kupata hiyo hela,kulipa Kila mwezi na kufanya wiring ambapo Kwa pamoja sio chini ya 600k.
Kijijini nani anayo hela hiyo kirahisi rahisi tuu?.
Naunga mkono hoja aende mirembe haraka suo hiari ni amriChawa pro max juzi ulinibishia kwamba hakuna umaskini Tanzania kwa nguvu zote
Leo unalalamika Tanzania kuna umaskini wahi mirembe chawa
Wacha porojo bwana,27k ipo Vijijini na Vitongoji vya Kwenye Miji vinavyotambulika kama VijijiBei ya kuunganisha umeme kwa mjini ilishushwa alipoingia Samia,ila ya vijijini ya muda mrefu tangu Kikwete
Chawa anataka kila mtu awe na luku yakeKuna tofauti kati ya kaya na nyumba, kuna nyumba zina kaya 2-5, hizo takwimu zinasemaje.
Nasikia wanatoa tuzo na kuna kipengele kipya cha chawa bora...miccm ina laana mkuu!Chawa anataka kila mtu awe na luku yake
Kuna watoto na vijana ambao bado nintegemezi na hao ndio hubeba idadi kubwa ya wananchi wa tzMbona bado ni nusu tu ya raia wote!
Kabisa mkuu mwisho wa siku utakuta wasio tumia umeme ni wachache saanaUkijumlisha na waume,na wake na watoto na House girls wao na wategemezi wanaoishi nao ambao pia hufaidi huo umeme idadi itaongezeka sana tu
Uko vzr ubishani kwa maneno ila unabishana kwa takwimu watu km nyie ni muhimu sana ktk jamii na taifaData za majengo ni uhakika sana tena hapo ni yale yaliyokamilika na ambayo hayajakamilika kutoka kwenye sensa.
Kwamba Kila Mtanzania anatakiwa kufikwa na umeme kwenye kaya yake View attachment 3204136
Na Tanesco wenyewe wamesema hapaUko vzr ubishani kwa maneno ila unabishana kwa takwimu watu km nyie ni muhimu sana ktk jamii na taifa
Na watu km nyie ndo mnafanya JF kuonekana ina wasomi na watu wenye uwelewa mkubwa sana wa mambo
Kwamba hawana kazi na umeme hata kuwasha hawataki? Una matatizo kichwani sio Bure.Sasa kama watu hawana kazi na umeme unataka waunganishe tu?
Embu tingisha vizuri kichwa kabla ya kukitumia