Licha ya umeme kufika kila mji na kila kijiji lakini wateja wenye umeme ni mln 5.2 tu out of 65mln people. Kuna umaskini mkubwa sana nchini

Najibia Heading tu.
Huduma ya umeme inakwenda kwa mtu mmojammoja au kwa nyumba? Maana naona umetumia takwimu ya idadi ya watu katika kupata huduma ya umeme badala ya nyumba/majengo.
Ukifikia Kila Jengo umewafikia watu wote.
 
Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni 14.3 yenye umeme ni majengo 5.2mln sawa na asilimia 37% tuu.

Sijajua kama wao Tanesco wanafurahia hii namba au hapana ila idadi hii inatoa picha halisi ya Hali ya maisha duni Kwa Mtanzania.

Just imagine licha ya umeme kufika Kila Kijiji na Kila Mji ten akiwa gharama kubwa lakini connectivity Rate ni ndogo sana.Tulikiwa tunasingizia Umeme kutokuwepo ila kiuhalisia shida sio umeme Bali pesa za kulinganisha na kulipia huo umeme.

View: https://www.instagram.com/p/DE5pkF7MNIx/?igsh=MWVtZjkxdGQ2YTd5OQ==

My Take
Serikali na watu wa mipango Kuna Kasi ya kufanya kukuza kipato Cha mwananchi,mkiendelea na miradi ya mabilioni Ili mpigie picha kuwafurahisha hao hao maskini licha ya kwamba haiwanufaishi Kuna siku mtakuja kuumbuka.

Chawa pro max juzi ulinibishia kwamba hakuna umaskini Tanzania kwa nguvu zote
Leo unalalamika Tanzania kuna umaskini wahi mirembe chawa
 
Ndio,inatakiwa Kila Mji uwe na umeme hivyo ni sawa na Kila Mtanzania awe na meme

Unapomsema ni sawa unaonekana ni mjinga sana,Nchi za wenzetu hapa hapa Africa wako 90% and above.
Sawa, usie mjinga umekuja na suruhisho gani utusaidie sisi wajinga na taifa kwa ujumla 100% tupate umeme?
 
Umeme na Umaskini Nchini: Changamoto za Serikali

Licha ya juhudi kubwa za kuleta umeme katika kila mji na kijiji nchini Tanzania, ukweli ni kwamba wateja wenye umeme ni milioni 5.2 tu kati ya watu milioni 65. Hii ni hali inayodhihirisha kiwango cha umaskini kilichokithiri katika nchi. Kwanza, inabidi kuelewa kuwa umeme ni rasilimali muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Bila umeme, ni vigumu kwa jamii kuwa na maendeleo endelevu.

Sababu za Kukosekana kwa Wateja wa Umeme

Kukosekana kwa wateja wengi wa umeme kunaweza kuhusishwa na sababu mbalimbali, lakini kubwa ni sera na utendaji wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Serikali hii imekuwa ikikabiliwa na changamoto nyingi katika kusambaza umeme kwa wananchi. Mara nyingi, miradi ya umeme inakumbwa na ucheleweshaji na upungufu wa rasilimali. Hali hii inafanya kuwa vigumu kwa watu wengi kupata umeme, na hivyo kuathiri maisha yao ya kila siku.

Umaskini na Umeme

Umaskini ni tatizo linaloathiri Tanzania kwa kiwango kikubwa. Watu wengi wanashindwa kupata mahitaji ya msingi kama vile chakula, elimu, na huduma za afya. Umeme unachangia katika kuboresha hali ya maisha. Bila umeme, watu hawawezi kufaidika na teknolojia ambazo zinaweza kuboresha uzalishaji, elimu na huduma za afya. Hali hii inaonyesha jinsi umaskini unavyohusiana kwa karibu na upatikanaji wa umeme.

Mwelekeo wa Serikali

Serikali ya CCM inapaswa kutambua kuwa umeme siyo tu huduma, bali ni kichocheo cha maendeleo. Ili kukabiliana na tatizo hili, ni muhimu kuimarisha miundombinu ya umeme na kuhakikisha kuwa miradi inatekelezwa kwa ufanisi.

Serikali inapaswa kuwekeza zaidi katika vyanzo vya nishati mbadala kama vile jua na upepo, ili kuongeza upatikanaji wa umeme katika maeneo ya vijijini.

Changamoto za Kiuchumi

Kukosekana kwa umeme kunakwamisha ukuaji wa uchumi. Watu wengi wanashindwa kuanzisha biashara na hivyo kuendelea kuwa masikini. Katika mazingira ya kisasa, umeme unahitajika kwa kila kitu, kutoka kwa viwanda hadi biashara ndogo. Serikali inapaswa kujikita katika kuboresha mazingira ya biashara kwa kuleta umeme katika maeneo yote, ili watu waweze kuanzisha na kuendesha biashara zao bila usumbufu.

Hitimisho

Kwa kumalizia, licha ya juhudi za serikali kuleta umeme nchini, ukweli ni kwamba bado kuna kazi kubwa ya kufanya. Umaskini unazidi kuwa tatizo kubwa, na umeme ni kati ya njia muhimu za kupunguza umaskini huo.

Serikali ya CCM inapaswa kuangazia changamoto hizi kwa makini, ili kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anapata umeme na fursa za kujiendeleza.

Ni wajibu wa serikali kuhakikisha kwamba maendeleo yanafikiwa si kwa maneno tu, bali kwa vitendo vinavyoleta mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi.
 
Chawa pro max juzi ulinibishia kwamba hakuna umaskini Tanzania kwa nguvu zote
Leo unalalamika Tanzania kuna umaskini wahi mirembe chawa
Wewe nyumbu Huwa una shida sana ya uelewa.Sijawahi sema hakuna umaskini Tanzania balo nilisema umaskini wa Tanzania una nafuu kushinda Nchi zingine za Afrika na takwimu nikaweka,Sasa wewe una shida gani kichwani?

By the way kigezo kikubwa walivhotumia ilikuwa ni upatikanaji wa chakula.
 
Akili za mleta mada Ni finyu kabisa (mleta mada ni Nyumbu)
65 million ni pamoja na watoto wa kuanzia miaka 0 mpaka 100+. Kwa hiyo, watu milion 65 = Kaya milion 65 (??)
 
Sawa, usie mjinga umekuja na suruhisho gani utusaidie sisi wajinga na taifa kwa ujumla 100% tupate umeme?
Nimependekeza suluhisho kwamba Serikali ikuze vipato vya Wananchi wake Kwa kutekeleza mipango na miradi ambako kuna watu wengi badala ya kuwa busy na mamiradi makubwa ya matrilioni ambayo hayasidii kukuza kipato.

Juzi tuu hapo kuna mdau alisema kukata Kodi salary ya 500k sio sawa na Mimi naunga mkono Kwa sababu 90% ya Watumishi wa Umma wako kundi Hilo.

Sasa hao ni Watumishi,vipi raia wa Vijijini ambao Hali ni Tete zaidi?
 
Wewe nyumbu Huwa una shida sana ya uelewa.Sijawahi sema hakuna umaskini Tanzania balo nilisema umaskini wa Tanzania una nafuu kushinda Nchi zingine za Afrika na takwimu nikaweka,Sasa wewe una shida gani kichwani?

By the way kigezo kikubwa walivhotumia ilikuwa ni upatikanaji wa chakula.
Kwamba juzi ulisema hakuna umaskini leo unasema kuna umaskini akili za wapi
Mbona juzi ulitumia nguvu kubwa kubisha
 
Mkuu unataka kila raia awe na unene wake?
Sio raia wote wanamiliki nyumba,kuna nyumba za kupanga zina watu wengi zaidi hata ya 20 wanashare umeme (inahesabika mteja mmoja)
 
Akili za mleta mada Ni finyu kabisa (mleta mada ni Nyumbu)
65 million ni pamoja na watoto wa kuanzia miaka 0 mpaka 100+. Kwa hiyo, watu milion 65 = Kaya milion 65 (??)
Watu wote wanatakiwa wapate umeme kwenye kaya zao.
 
Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni 14.3 yenye umeme ni majengo 5.2mln sawa na asilimia 37% tuu.

Sijajua kama wao Tanesco wanafurahia hii namba au hapana ila idadi hii inatoa picha halisi ya Hali ya maisha duni Kwa Mtanzania.

Just imagine licha ya umeme kufika Kila Kijiji na Kila Mji ten akiwa gharama kubwa lakini connectivity Rate ni ndogo sana.Tulikiwa tunasingizia Umeme kutokuwepo ila kiuhalisia shida sio umeme Bali pesa za kulinganisha na kulipia huo umeme.

View: https://www.instagram.com/p/DE5pkF7MNIx/?igsh=MWVtZjkxdGQ2YTd5OQ==

My Take
Serikali na watu wa mipango Kuna Kasi ya kufanya kukuza kipato Cha mwananchi,mkiendelea na miradi ya mabilioni Ili mpigie picha kuwafurahisha hao hao maskini licha ya kwamba haiwanufaishi Kuna siku mtakuja kuumbuka.

Labda TANESCO inafurahia hii idadi wa wateja kwa kuwa kama 'watu' wote wangetaka kuunganishwa isingekuwa na umeme wa kutosha.
 
Nimependekeza suluhisho kwamba Serikali ikuze vipato vya Wananchi wake Kwa kutekeleza mipango na miradi ambako kuna watu wengi badala ya kuwa busy na mamiradi makubwa ya matrilioni ambayo hayasidii kukuza kipato.

Juzi tuu hapo kuna mdau alisema kukata Kodi salary ya 500k sio sawa na Mimi naunga mkono Kwa sababu 90% ya Watumishi wa Umma wako kundi Hilo.

Sasa hao ni Watumishi,vipi raia wa Vijijini ambao Hali ni Tete zaidi?
Ikuzaje vipato vya wananchi ilihali ulisema hakuna umaskini Tanzania
 
Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni 14.3 yenye umeme ni majengo 5.2mln sawa na asilimia 37% tuu.

Sijajua kama wao Tanesco wanafurahia hii namba au hapana ila idadi hii inatoa picha halisi ya Hali ya maisha duni Kwa Mtanzania.

Just imagine licha ya umeme kufika Kila Kijiji na Kila Mji ten akiwa gharama kubwa lakini connectivity Rate ni ndogo sana.Tulikiwa tunasingizia Umeme kutokuwepo ila kiuhalisia shida sio umeme Bali pesa za kulinganisha na kulipia huo umeme.

View: https://www.instagram.com/p/DE5pkF7MNIx/?igsh=MWVtZjkxdGQ2YTd5OQ==

My Take
Serikali na watu wa mipango Kuna Kasi ya kufanya kukuza kipato Cha mwananchi,mkiendelea na miradi ya mabilioni Ili mpigie picha kuwafurahisha hao hao maskini licha ya kwamba haiwanufaishi Kuna siku mtakuja kuumbuka.

Hizi ndio habari wenzio hawataki kuzisikia kuelekea October,Sifia mkuu hata km ni ujinga,nchi kubwa hii na kuna watu bado wamelala na TBC taifa aka RTD,huwaambii kitu kabisa wao wanasikia mazuri tu wasioyaona
 
Ni sawa kabisa na hakuna shida.
We ulitegemea kila mtu ana mji wake peke yake hivyo anatakiwa awe na umeme wake siyo?
Kuna nyumba zinahold 3-30 people na hata zaidi hivyo ukipiga ratio ni watu wachache sana hawana umeme bongo hii.
Akili hana huyo mleta mada na pia mbishi huyo hatari

Kafikia ukomo wa kuelimika au kuelimishwa
 
Back
Top Bottom