Licha ya ushabiki wangu kwa Israel, ila hili la kuua kila kitu kunasababisha wanaua hadi mateka, hapana

Mazombie ni nyie wamarekani uchwara na wayahudi mavi mnanyooshwa.
 
Kuna msemo wa Kiswahili unasema "Vita havina macho". Hayo ni matukio ya kawaida kwenye vita.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hawa waisrael ni waoga hatari halafu ni makatili tofauti na hivo unavoelezea wewe. fikiria watu wametoka kwenye nyumba vifua wazi wamekamata bendera nyeupe na bado wamewapiga Risasi. Mmoja kajeruhiwa karudi ndani, kazungumza kiyahudi kuomba msaada, wamestop , alivotoka tu wakamuua, huu wote ni uoga wa hali ya juu, Jeshi la Israel limezoea kuua wanyonge hususan wanawake na watoto。
na teknolojia yote na nguvu zote wameshinwa kujua mateka wako wapi, katika eneo dogo tu la mraba ambalo wamelizunguka kila Kona, is safe to assume hawa jamaa ni mashoga tu
 

Unapopambana na magaidi ia dini yaliyoaminishwa kugegeda mabikira unapaswa ufyatue chochote kwa vyovyote, hii sio movie ni uhalsia.


View: https://twitter.com/i/status/1735629020476158067
 
WOTE NYINYI HAKUNA ALIYEWAHI KUA FRONT LINE KWENYE VITA NA HAMJUI WANAJESHI WAKIWA VITANI WANAKUA NA UMAKINI WA AINA GANI....(MACHALE)
MAANA UKIZEMBEA KIDOGO TU AU UKIWA NA HURUMA UNAKUFA WEWE,,,MATEKA NA WANAWAKE NA WATOTO NA WAZEE WANAWEZA KUTUMIWA NA ADUI PIA KAMA CHAMBO......MTU KUNYOSHA BENDERA NYEUPE INAWEZA KUA TRAP YA ADUI PIA KUWATANGULIZA MATEKA
TUULIZENI SISI TULIOKUA FRONTLINE MOGADISHU KAMA PRIVATE CONTRACTOR WA IGM....
ADUI NA RAIA WOTE WANAVAA SAWA,,,,,UKIWA NA HURUMA TU UNAKUFA WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…