Licha ya ushahidi wa AL Jazeera, kwanini Hamas hawataki kuomba msamaha familia za Wapalestina 500 waliofariki kwa kombora lao kupata hitilafu?

uchunguzi umeshamalizika na ushahidi ni video iliyokuwa inarushwa AL JAZEERA 18:59 dakika 10 kabla ya wao kuripoti hospitali imelipuliwa
Wamarekani huwa hawakurupiki.Joe Bidden alishasema ni upande mwingine ndio umeshambulia na Sio Israeli ๐Ÿค”
 
Mmmmmmh, tangu lini Hananya Naftali akawa ni msemaji?n
Yule ameenda vitaani na account yake inaendeshwa na mkewe kwa kipindi hiki.
 
Attachments

  • 20231011_063316.jpg
    137.7 KB · Views: 2
Kuna sehemu wamesilika wakisema "yalah!!! yalah!!!"
 
Kuna sehemu wamesilika wakisema "yalah!!! yalah!!!"
Wewe kwako akiingia mwizi na kukuonesha kisu hata mkeo unamwambia amchukue. Palestina wanapigania ardhi yao na masjid Aqswa kwa miaka mingi sasa
 
Mmmmmmh, tangu lini Hananya Naftali akawa ni msemaji?n
Yule ameenda vitaani na account yake inaendeshwa na mkewe kwa kipindi hiki.
anareport toka Vitani na IDF na Video Ame upload mwenyewe nimeweka hapo juu na hapa nakuekea
Your browser is not able to display this video.

Naona mnabishana mpaka na Naftali mwenyewe wa Kutetea.
 
Wapi video mbona inaongelea mambo mengine unawadanganya wajinga wenzako ambao hawahamu lugha
 
anareport toka Vitani na IDF na Video Ame upload mwenyewe nimeweka hapo juu na hapa nakuekea
View attachment 2786574
Naona mnabishana mpaka na Naftali mwenyewe wa Kutetea.
Msome mkewe kuhusu kuitumia account ya mumewe Hanaya Naftari ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_2023-10-19-17-19-55-616_com.facebook.katana.jpg
    666.3 KB · Views: 2
Kwa hivyo definition ya ugaidi anayo mtu kichwani mwake
Ugaidi ni namna unavyoAct hufuati sheria zozote zilizoanishwa mfano wasiojulikana wale wa CCM ni magaidi AU anachokifanya Putin Ukraine ni ugaidi๐Ÿค”
 
Ugaidi ni namna unavyoAct hufuati sheria zozote zilizoanishwa mfano wasiojulikana wale wa CCM ni magaidi AU anachokifanya Putin Ukraine ni ugaidi๐Ÿค”
Kwanini umtaje Putin na kuwaacha AMERICAN?
 
Unafikiri wana akili hao basi........walisema alwa akbar huku wanaua watu bila hatia ..........walivyo lipiziwa wanasema pray for Palestine.........alwa akbar asemwi tena..........wamebaki kutia huruma tu kujifanya wanaonewa
Ni mapumbafu na malofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ