Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Watu weusi mnashobo nawatu akati mkianza kuuana wao wanawaona takatajaKatika watu wanaoneqa hapa Duniani wazi wazi ni hilo Taifa la Palestine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu weusi mnashobo nawatu akati mkianza kuuana wao wanawaona takatajaKatika watu wanaoneqa hapa Duniani wazi wazi ni hilo Taifa la Palestine
Wamarekani huwa hawakurupiki.Joe Bidden alishasema ni upande mwingine ndio umeshambulia na Sio Israeli 🤔uchunguzi umeshamalizika na ushahidi ni video iliyokuwa inarushwa AL JAZEERA 18:59 dakika 10 kabla ya wao kuripoti hospitali imelipuliwa
Mmmmmmh, tangu lini Hananya Naftali akawa ni msemaji?nSababu unafungua mathread mengi na umeamua kuwa propagandist, kila sehemu waki expose uongo wako unafungua uzi mwengine na mimi kila uzi nitakufuata.
1. Israel walkiri kupiga hilo Bomu na Msemaji wa IDF kapost Tweeter baadae baada ya Backlash wakafuta
View attachment 2785864
2. Bomu limetupwa na Ndege na ukubwa wa Bomu Hamas hawana, bomu Linaloua watu 500 na kujeruhi maelfu wanamgambo hawana, hata kufichika halifichiki.
3. Aina ya Mlipuko na Sauti watu washalijua ni Bomu gani Jdam.
4. Leo Tena Wamepiga sehemu nyengine same Voice na bomu la jana imesikika ni Airstrike
Marekani Mandela ni gaidi. Siku ya sku akawa raisWamarekani huwa hawakurupiki.Joe Bidden alishasema ni upande mwingine ndio umeshambulia na Sio Israeli 🤔
Hata mu7 na yeye alikuwa Gaidi baadae akawa raisi.Sio jambo la ajabu kwenye hii dunia 🤔Marekani Mandela ni gaidi. Siku ya sku akawa rais
Kwa hivyo definition ya ugaidi anayo mtu kichwani mwakeHata mu7 na yeye alikuwa Gaidi baadae akawa raisi.Sio jambo la ajabu kwenye hii dunia 🤔
Kuna sehemu wamesilika wakisema "yalah!!! yalah!!!"Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".
Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA
18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka
View attachment 2785845
Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
Wewe kwako akiingia mwizi na kukuonesha kisu hata mkeo unamwambia amchukue. Palestina wanapigania ardhi yao na masjid Aqswa kwa miaka mingi sasaKuna sehemu wamesilika wakisema "yalah!!! yalah!!!"
anareport toka Vitani na IDF na Video Ame upload mwenyewe nimeweka hapo juu na hapa nakuekeaMmmmmmh, tangu lini Hananya Naftali akawa ni msemaji?n
Yule ameenda vitaani na account yake inaendeshwa na mkewe kwa kipindi hiki.
Ni kosa kuabudu huyu jamaa: ADF rebels kill two foreign tourists, Ugandan in Queen Elizabeth park
Yaani mtu unabinuka na likanzu kuabudu mtu mwenye huu uchafu: MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
Wapi video mbona inaongelea mambo mengine unawadanganya wajinga wenzako ambao hawahamu lughaSi kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".
Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA
18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka
View attachment 2785845
Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
Msome mkewe kuhusu kuitumia account ya mumewe Hanaya Naftari 👇👇👇anareport toka Vitani na IDF na Video Ame upload mwenyewe nimeweka hapo juu na hapa nakuekea
View attachment 2786574
Naona mnabishana mpaka na Naftali mwenyewe wa Kutetea.
Ugaidi ni namna unavyoAct hufuati sheria zozote zilizoanishwa mfano wasiojulikana wale wa CCM ni magaidi AU anachokifanya Putin Ukraine ni ugaidi🤔Kwa hivyo definition ya ugaidi anayo mtu kichwani mwake
Ni Twitter Hio?Msome mkewe kuhusu kuitumia account ya mumewe Hanaya Naftari 👇👇👇
Kwanini umtaje Putin na kuwaacha AMERICAN?Ugaidi ni namna unavyoAct hufuati sheria zozote zilizoanishwa mfano wasiojulikana wale wa CCM ni magaidi AU anachokifanya Putin Ukraine ni ugaidi🤔
Putin alitaka kuTerrorize akajikuta anapigika mwenyewe 🤔Kwanini umtaje Putin na kuwaacha AMERICAN?
Ni mapumbafu na malofaUnafikiri wana akili hao basi........walisema alwa akbar huku wanaua watu bila hatia ..........walivyo lipiziwa wanasema pray for Palestine.........alwa akbar asemwi tena..........wamebaki kutia huruma tu kujifanya wanaonewa