Licha ya ushahidi wa AL Jazeera, kwanini Hamas hawataki kuomba msamaha familia za Wapalestina 500 waliofariki kwa kombora lao kupata hitilafu?

Iyo video inauhalisia ggani alafu iyoo video waliitupia Israel na marekani wakisema siyo wao ni hamassi aljazira waliripoti tu wewe unasema aljazira ndyo wametoa uchunguzi wao ivi akili yako inaakili kweli
 
Kwamba bila aibu leo ijumaa utakwenda kuabudu huyu pamoja na uchafu huu MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245

Sikushangai ndivyo mlivyozaliwa au tukuite towashi
 
Iyo video inauhalisia ggani alafu iyoo video waliitupia Israel na marekani wakisema siyo wao ni hamassi aljazira waliripoti tu wewe unasema aljazira ndyo wametoa uchunguzi wao ivi akili yako inaakili kweli
Ndiyo elimu waliyopewa na CCM usishangae hata kiswahili humu kinawapiga chenga. Huu ni msiba wa nchi
 
Iyo video inauhalisia ggani alafu iyoo video waliitupia Israel na marekani wakisema siyo wao ni hamassi aljazira waliripoti tu wewe unasema aljazira ndyo wametoa uchunguzi wao ivi akili yako inaakili kweli
Ni live footage ya kila kitu kilichokuwa kinaendelea kwenye mji wa Gaza, Ni sawa na Tbc wakiwa na camera zinazoonyesha live footage ya mji wa Tanga, litalotokea gari la ccm limerekodiwa limegonga jengo la ccm kwenye live footage, hili tukio haliwezi kupingwa hata wao tbc wakisema jengo limegongwa na gari ya chadema, ni kwasababu lilisharekodiwa na kutokea.

Al Jazeera wameumbuka wenyewe na live footage yao,
 
Aljazeera hawajaumbuka angalia walichokitangaza

View: https://youtu.be/yyNLvL_8SeY?si=rtOpSsFMqc0dD2uo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…