Aiba
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 2,047
- 3,912
Iyo video inauhalisia ggani alafu iyoo video waliitupia Israel na marekani wakisema siyo wao ni hamassi aljazira waliripoti tu wewe unasema aljazira ndyo wametoa uchunguzi wao ivi akili yako inaakili kweliSi kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".
Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA
18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka
View attachment 2785845
Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire