Hi vita itawaumiza sana watu wa palestina. Hawa magaidi wa hezbula na hamasi wasipo zuiliwa watafanya ile nchi ikaliwe na israel
MFumo wa kiulinzi wa israel upo strong sana kuweza kuzuia ICBM na missile za masafa ya kati
Naona huruma sana kwa rai wa kawaida vile wanaumia ila Lawama zangu zote naziweka kwa Kikundi cha kigaidi Hamasi
Mimi ningeshauri wananchi wa gaza wawataje tu majina yao au wawatoe wawapeleke kwa waisraili wakapate wanacho stahili.
Kwanini nasema ivyo!?
Ukiangalia kilichotokea kwenye ile fiesta ya waisraeli aki hautokaa utamani ata kumshika mkono mpalestina wa gaza.
Aise awa jamaa niwakatili mno yani walikua wanauwa wanachana mabox yani hawasikii uchungu😥.
Awa jamaa uwa wanajiamulia tu kufanya mauwaji sasa hii ya sasa imekua ngumu mno, wanapumulia bahasha za kaki.
Mimi nikikumbuka tuu lile bomu walilotupiga hapa bongo! Ivi kwanini walitufanyiaga vile?
Tuliwakoseaga nini?
Mimi najua mauwaji yaliyotokea Israel nakupelekea vita kushamiri yangetokea Bongo, ingeishia kama yale mabomu walio tupiga na hatuku chukua hatua yoyote ile.
haya mauwaji waliyoyafanya Israel wiki moja ni yakikatili mno, wameuwa watoto, wajawazito, vijana ndo usiseme video inaonyesha walivyokua wanachomwa moto ndani ya magari yao wakiwa hai😥 aise inatisha mno, wameuwa mno wameuwa na silaha nzito na za jadi mpaka majembe jamani, mtu anakatwa kichwa na jembe😫.
Mimi naona wapate tu adhabu, maana watazoea vibaya tukiwakalia kimya.
Alafu raia wa gaza nao nikama wanawa defend maana kinachotakiwa kufanywa nikuwatoa hamas walipo nakuwamaliza.
Ila wao wanazidi kuwaficha, na hamas wanazidi tuma rocket Israel!
Ivi kweli?
mimi ni muslim lakini sipendagi tu tokea watupige bomu bongo na wanavyovifanya kwa wabongo wengine nchini kwao, na walichokifanya israel kweli amna wakuwafundisha moral waisrael kwa mitabia ya hawa jamaa