NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Kwa mikoa yan kanda ya juu kusini kuna Mbeya, Iringa, Njombe , Rukwa na Songwe.
Hakuna shaka kwamba unapokuja ukanda wa nyanza za juu kusini kwa muda mrefu wanyakyusa ndio wamekuwa kabila lenye wasomi wengi zaidi, limeshatoa wanasiasa kibao waliofikia ngazi za juu, watumishi ambao wameshika nyadhifa muhimu serikalini, n.k.
Kwa siku hizi walioongezeka kwenye huu ukanda ni wakinga lakini hawa wameanza kufahamika miaka ya majuzi hap na zaidi kwenye biashara na kiukweli hata Kariakoo hapo wamejaa na hata Mbeya washaiteka ila ni kwa uchumi tu lakini bado wapo nyuma kwenye siasa, elimu, kuwa kwenye system, kuwa na vyeo serikalini, n.k.
Ni kwanini linapokuja suala la urais hakuna hata aliewahi hata kushika namba 2 kura za maoni. ?