Licha ya Wanyakyusa kuwa juu kwa muda mrefu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kielimu, kisiasa, vyeo vya juu, n.k kwanini uraisi hawusogelei ?

Licha ya Wanyakyusa kuwa juu kwa muda mrefu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kielimu, kisiasa, vyeo vya juu, n.k kwanini uraisi hawusogelei ?

Wanyakyusa waninafsi kama wamakonde TU kama unataka ujue Hilo serikali ukupangie Kaz mbeya utajuta kuajiriwa,,usione mbeya ya hovyo hivo haijapangika imejaa uchafu na slums kila Kona ni vile wabishi balaa na ukiwambia ukweli weny faida kwao wanasoma had waambiwe na mtu mzaliwa wa mbeya ndo wanamkubali ata kama kasema ujinga na hivo ndo Unaona wanamuita SUGU raisi wao waulize miaka yote kafany Nini kama sio kaipotezea Dira mbeya isingekuw hivi ilivo
 
Kwa mikoa yan kanda ya juu kusini kuna Mbeya, Iringa, Njombe , Rukwa na Songwe.

Hakuna shaka kwamba unapokuja ukanda wa nyanza za juu kusini kwa muda mrefu wanyakyusa ndio wamekuwa kabila lenye wasomi wengi zaidi, limeshatoa wanasiasa kibao waliofikia ngazi za juu, watumishi ambao wameshika nyadhifa muhimu serikalini, n.k.

Kwa siku hizi walioongezeka kwenye huu ukanda ni wakinga lakini hawa wameanza kufahamika miaka ya majuzi hap na zaidi kwenye biashara na kiukweli hata Kariakoo hapo wamejaa na hata Mbeya washaiteka ila ni kwa uchumi tu lakini bado wapo nyuma kwenye siasa, elimu, kuwa kwenye system, kuwa na vyeo serikalini, n.k.

Ni kwanini linapokuja suala la urais hakuna hata aliewahi hata kushika namba 2 kura za maoni. ?
It is myth, kuwa wanyakyusa wamesoma kuliko mikoa mingine. Labda utoe numbers, wanyakyusa wanaongea sana halafu wana nepotism. Chukulia history kabla tu na baada ya uhuru kufikia 1975, Iringa ilikuwa na shule za secondary nyingi kuliko Mbeya
Mbeya
loleza
Aghakan
iyunga
kantalamba

iringa
aghakan
mkwawa - St. George
Iringa girls - st Marys
tosamaganga
ifunda technical
Malangali
itamba
hapo siaongealea vyuo

Halafu ongeza hii, mchaga Eliufoo ndiyo alikuwa waziri wa kwanza wa elimu, mkurugenzi mhaya na mnyakyusa, what do you expect? NDC ilikuwa kama kagera national insurance, bank of commerce kama nyakyusaland.

na mawaziri wote waliofuata walikuwa elinawinga, mgonja same people

expectation?
 
Kantalamba iko mkoa wa Rukwa.. mbeya ilikuwa na Mwakaleli , Meta , Loreza ..Iyunga boys..Na Mbozi high school..
 
Kwa mikoa yan kanda ya juu kusini kuna Mbeya, Iringa, Njombe , Rukwa na Songwe.

Hakuna shaka kwamba unapokuja ukanda wa nyanza za juu kusini kwa muda mrefu wanyakyusa ndio wamekuwa kabila lenye wasomi wengi zaidi, limeshatoa wanasiasa kibao waliofikia ngazi za juu, watumishi ambao wameshika nyadhifa muhimu serikalini, n.k.

Kwa siku hizi walioongezeka kwenye huu ukanda ni wakinga lakini hawa wameanza kufahamika miaka ya majuzi hap na zaidi kwenye biashara na kiukweli hata Kariakoo hapo wamejaa na hata Mbeya washaiteka ila ni kwa uchumi tu lakini bado wapo nyuma kwenye siasa, elimu, kuwa kwenye system, kuwa na vyeo serikalini, n.k.

Ni kwanini linapokuja suala la urais hakuna hata aliewahi hata kushika namba 2 kura za maoni. ?
Wanyakyusa wako juu kielimu kutokana na makanisa na kupakana na Malawi ambako walipata elimu bure, na ndilo kabila lililokuwa likienda Afrika kusini kufanya kazi kwenye migodi (WENELA) kabla ya uhuru.
 
Wanyakysa ni wazuri na wameusogelea urais, tulimshuhudia Prof. Mwandosya ile 2005, ila zamu yao ilikuwa haijafika!.

Uchaguzi wa 2015 Wanyakyusa 3 wakajirokeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof Mark Mwandosya, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, na Musa Mwapango (Mbeya) ila pia zamu yao ikawa haijafika.

Anayepanga nani awe rais sio sisi ni YEYE, kwa vile tumepanga 2025 twende na Mwanamke, na kuna Mnyakyusa kule kwenye Mhimili, you never know Mwanamke huyu atakuwa nani!, anaweza kabisa kuwa ndio huyo Mwanamke wa Kinyakyusa!, kama nilivyo eleza hapa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Ila pia ikitokea sauti hii kuwa ni sauti ya kweli ya kwake YEYE, Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, then rais wa Tanzania 2030 -2040 ni huyu Bidada wa Kinyakyusa!.

Tatizo la Wanyakyusa kwa wadada wa Mbeya ni moja tuu, Maharage ya Mbeya, maji mara moja!. Hili niliwahi kuliulizia "Maharage ya Mbeya maji mara moja" ni kauli ya kweli? Ni kwenye maharage tu au hadi kwa wanambeya? Kama kauli huumba, Jibu sahihi ni Oktoba 2020! sikumbuki hata nilijibiwaje!.

P
Pascal
kwenye komenti zako nyingi huwa upo very journalistic sana, wewe huwa unapuyanga tu. Kwa mfano assumption yako ni kuwa kila mtu aishiye Mbeya ni mnyakyusa, yaani kabila la Mbeya ni wanyakyusa ya pili ni time frame, ukiongea kuhusu hao waliosoma wapo wapi na mwaka gani basi topic yako haipo relevant Kwa sasa labda uongee in 70s, Kwa sasa wasomi wako kila sehemu
 
It is myth, kuwa wanyakyusa wamesoma kuliko mikoa mingine. Labda utoe numbers, wanyakyusa wanaongea sana halafu wana nepotism. Chukulia history kabla tu na baada ya uhuru kufikia 1975, Iringa ilikuwa na shule za secondary nyingi kuliko Mbeya
Mbeya
loleza
Aghakan
iyunga
kantalamba

iringa
aghakan
mkwawa - St. George
Iringa girls - st Marys
tosamaganga
ifunda technical
Malangali
itamba
hapo siaongealea vyuo

Halafu ongeza hii, mchaga Eliufoo ndiyo alikuwa waziri wa kwanza wa elimu, mkurugenzi mhaya na mnyakyusa, what do you expect? NDC ilikuwa kama kagera national insurance, bank of commerce kama nyakyusaland.

na mawaziri wote waliofuata walikuwa elinawinga, mgonja same people

expectation?
Kipindi cha ujamaa kulikuwa na ukabila wa kufa mtu.
 
Back
Top Bottom