Licha ya Wanyakyusa kuwa juu kwa muda mrefu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kielimu, kisiasa, vyeo vya juu, n.k kwanini uraisi hawusogelei ?

Wanyakyusa waninafsi kama wamakonde TU kama unataka ujue Hilo serikali ukupangie Kaz mbeya utajuta kuajiriwa,,usione mbeya ya hovyo hivo haijapangika imejaa uchafu na slums kila Kona ni vile wabishi balaa na ukiwambia ukweli weny faida kwao wanasoma had waambiwe na mtu mzaliwa wa mbeya ndo wanamkubali ata kama kasema ujinga na hivo ndo Unaona wanamuita SUGU raisi wao waulize miaka yote kafany Nini kama sio kaipotezea Dira mbeya isingekuw hivi ilivo
 
It is myth, kuwa wanyakyusa wamesoma kuliko mikoa mingine. Labda utoe numbers, wanyakyusa wanaongea sana halafu wana nepotism. Chukulia history kabla tu na baada ya uhuru kufikia 1975, Iringa ilikuwa na shule za secondary nyingi kuliko Mbeya
Mbeya
loleza
Aghakan
iyunga
kantalamba

iringa
aghakan
mkwawa - St. George
Iringa girls - st Marys
tosamaganga
ifunda technical
Malangali
itamba
hapo siaongealea vyuo

Halafu ongeza hii, mchaga Eliufoo ndiyo alikuwa waziri wa kwanza wa elimu, mkurugenzi mhaya na mnyakyusa, what do you expect? NDC ilikuwa kama kagera national insurance, bank of commerce kama nyakyusaland.

na mawaziri wote waliofuata walikuwa elinawinga, mgonja same people

expectation?
 
Kantalamba iko mkoa wa Rukwa.. mbeya ilikuwa na Mwakaleli , Meta , Loreza ..Iyunga boys..Na Mbozi high school..
 
Wanyakyusa wako juu kielimu kutokana na makanisa na kupakana na Malawi ambako walipata elimu bure, na ndilo kabila lililokuwa likienda Afrika kusini kufanya kazi kwenye migodi (WENELA) kabla ya uhuru.
 
Pascal
kwenye komenti zako nyingi huwa upo very journalistic sana, wewe huwa unapuyanga tu. Kwa mfano assumption yako ni kuwa kila mtu aishiye Mbeya ni mnyakyusa, yaani kabila la Mbeya ni wanyakyusa ya pili ni time frame, ukiongea kuhusu hao waliosoma wapo wapi na mwaka gani basi topic yako haipo relevant Kwa sasa labda uongee in 70s, Kwa sasa wasomi wako kila sehemu
 
Kipindi cha ujamaa kulikuwa na ukabila wa kufa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…