Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila umezingua we jamaa kwa huu uzi wako, umeuza ramani ya vita kwa maadui. Yani umewapa mpaka jina lake la asili na ukaona haitoshi mpaka jina la kisayansi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anajua atakula YAMOTO
Kabla ya kuhamia kwenye royal honey ulikua wapi?
Mmmh hiyo dushe inachezewa sana....Black cobra
Luvmax
Q7.
Max man coffee.
Mmmh hiyo dushe inachezewa sana....
Sifanyi biashara hii mkuu, natoa TU elimu
Mkuu una hela nikuletee mzigosasa hivi nimehamia royal honey.
Asali moja hivi ina shughuli sio ya kitoto
😂😂😂 Ole wake mtu ajichanganye hapo ale nauli....Kujikoki muhimu.
Hapo bado kuna kahawa na Al Kasus.
Sua wachangamkie fursa hii.. [emoji23]Wapi napata miche yake?
SUA hawana miche?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Salute sana hili dude
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mapenzi yanageuka Vita vya Israel na Palestina.Yaani mbetou,then mabeberu wachelewe kuja,si watapiga short kidude! Hapa lazima michubuko ya hali ya juu sana,maana demu atakua anakojoa,anakauka na bado mmeza vumbi la Kongo anasukuma machine! Ukimwi utaisha kweli jaman?? Mapenzi sio kukomoana
Itabidi nisogee huko, kwa mbaaali naona ubilionea huo. [emoji23]Kama ukiweza kufata mbegu Kongo Unaweza otesha mwenyewe.