NYONGEZA [emoji116]
Nowdays Mkongo unatumiwa pia na Wanawake kuwatia uhanithi wa muda wanaume zao Kama njia ya
1. kuwakomesha au
2.kutunza uamninifu wao Kwenye Ndoa wanapokua wamesafiri za MDA mrefu.
Yaani,
Mwanaume unaalikwa au unatengenezewa mazingira ukamgegede mwanamke,
Afu mwanamke anaandaa mkongo ukiwa umechanganywa na vitu kadhaa.
Kisha anaupaka ukeni kwake au pia anaweza kukushauri upake ili umkune vizuri.
Baada ya happy Sasa,
Mwanaume atapiga show ya maana Sana siku iyo, ila akishakojoa kimoja TU cha Kwanza na Uume utalala hapo hapo.
Na hautoamka tena ata Utekenywe vipi kuanzia sikU 5 mpaka miez 6 mbele zaidi kutegemea mwenyewe ameweka concentration Kia's gani Kwenye ilo tego lake.
Utakaa lidudu limelala mpk ule mchanganyiko wote uishe Nguvu Kwenye Uume Wako ndo Uume utainuka Tena.
MAMBO YAKIKAA SAWA NTAPANDISHA UZI WAKE nimeuchambua A to Z sema wasiwasi wangu ni mods wanaweza kuuondoa.
NB: Hii tego haliusiani kabisa na ushirikina, it's just a simple chemistry