xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,379
akienda taasisi ya kilimo pale tengeru karbia na cdti atapata aktaka hata na micheArusha ziko tele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akienda taasisi ya kilimo pale tengeru karbia na cdti atapata aktaka hata na micheArusha ziko tele
aisee umenijuza zaidi mdau safi sana asanteIce age ni Acorn mbegu za mti wa Oak unaopatikana nchi za baridi kama Canada nk
hiyo kitu inaitwa Macadamia inapatikana wilaya ya mbozi kijiji cha Masangula kuna kampuni inaotesha miche na ina shamba kubwa la miti hiyo/makadamia njoo kando nikuunganishe naoNahitaji kujua hii aina ya karanga nitaipata wapi na bei yake kwa kilo ama hata kwa tani..ahsanteView attachment 725932View attachment 725933
Boss upo Njombe sehemu gani? Naomba tuwasiliane kuhusu Macadamia! Nakuomba sana mkuuNimeanza kulima organic, nitaanza na local market, niko Njombe
Scientific classification
Kingdom: Plantae
Clade: Angiosperms
Clade: Eudicots
Order: Proteales
Family: Proteaceae
Subfamily: Grevilleoideae
Tribe: Macadamieae
Subtribe: Macadamiinae
Genus: Macadamia
F.Muell.
Species
- Macadamia integrifolia Maiden & Betche
- Macadamia jansenii C.L.Gross & P.H.Weston
- Macadamia ternifolia F.Muell.
- Macadamia tetraphylla L.A.S.Johnson
njoo inboxBoss upo Njombe sehemu gani? Naomba tuwasiliane kuhusu Macadamia! Nakuomba sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio anauliza?
Plantation ipo shamba la silver land maeneo ya ifunda iringa, wanauza na miche bei ni zaidi ya elfu 5 kwa mcheDetail zaidi hususani kutoka kwa mtu ambaye amekifanya, uwayijaji wa mbegu, uoataji, ukuaji, grafting na upatikaji wa vikonyo sana sana ndo shida. Hata kama kuna mtu anayefahamu kuwa kuna sehemu naweza kuta plantation ya zao hili utakuwa ni msaada mkubwa sana kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kama unazo hizo macadamia nuts tuongee uniuzie ninazihitaji kwa ajili ya afya yangu. Nipigie 0625652496Kaka sema soko liko wapi maana hizi mbinga zinaitwa karanga miti tuchangamkie zinapatikana tu kwa wingi sema wapi soko au toa number tuchangamkie fursa
Naomba kama unazo hizo macadamia nuts au unafahamu zilipo tuongee uniuzie au nisaidie kuzipata ninazihitaji kwa ajili ya afya yangu. Nipigie 0625652496Mkuu kwa muda huu nipo mjini Dar natafuta mtu lushoto anipe taarifa zaidi, , Ila Sakharani Mission, ipo chini ya Benedictine Abbey Missionary, (NMakao Makuu Ndanda Mission) , S.L.P. 40, Lushoto. Tanga.
Hawa wa Misionari wana shamba la Macadamia, na wanauza hata mafuta yake, Kwa Dar es Salaam, Macadamia nuts hua zipo Oysterbay Shopping Centre, kuna mtu anauza kilo moja shillingi elfu nne. lakini upatikanaji wake sio mkubwa sana.
Sijui ntapataje jina lake la kisayansi?
Mazao yake (karanga)ni tofafauti na cocoa?Mojawapo common Macadamia integrifolia