Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Mambo vipi wadau, vipi kuhusu hili zao la Macadamia? Kuna anayeweza kuliongelea kutokana na udhoefu wake katika kuliendesha?

Namna kilimo chake kinavofanyika kutoka kwenye Mbegu hadi utunzaji shambani? Grafting yake n.k.........

Naomba taarifa kwa mwenye nayo....!

0622961166

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jamii hii, inatoa nuts ambazo zinabunguliwa na kutoa kiini ambacho ndo chenye matumizi. Ni chakula kwa kutafunwa kina radha nzuribsana na nutritional contents nying nzuri. Zaid inatoa product nyingi nyingi za urembo na dawa, eg mafuta n.k

Zao lipo Tanzania lakin inaonekana kwa scale ndogo sana. Kwa sasa ndo naona inakuja kwa speed nzuri. Bei yake ni kubwa sana ukifanikiwa kuwa nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Detail zaidi hususani kutoka kwa mtu ambaye amekifanya, uwayijaji wa mbegu, uoataji, ukuaji, grafting na upatikaji wa vikonyo sana sana ndo shida. Hata kama kuna mtu anayefahamu kuwa kuna sehemu naweza kuta plantation ya zao hili utakuwa ni msaada mkubwa sana kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Plantation ipo shamba la silver land maeneo ya ifunda iringa, wanauza na miche bei ni zaidi ya elfu 5 kwa mche

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uzi humu i utafute jukwaa la kilimo. Watawa wa kanisa Kotliki wanazilima sana Sakarani.
 
Kaka sema soko liko wapi maana hizi mbinga zinaitwa karanga miti tuchangamkie zinapatikana tu kwa wingi sema wapi soko au toa number tuchangamkie fursa
Naomba kama unazo hizo macadamia nuts tuongee uniuzie ninazihitaji kwa ajili ya afya yangu. Nipigie 0625652496
 
Naomba kama unazo hizo macadamia nuts au unafahamu zilipo tuongee uniuzie au nisaidie kuzipata ninazihitaji kwa ajili ya afya yangu. Nipigie 0625652496
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…