Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Arusha, ila sijaviona siku nyingi sana

Ukimix na asali zinaongeza sanaa nguvu za kiume sio siri.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] nguvu za ki ume kumbeeeee!! ndo mana umetoweka .... "janga la kizazi cha leo" hasahasa huko maghorofani
 
majuzi nimeletewa korosho za kimarekani kuna kamlandano hivi
 
Sisi pia tulikuwa tunaita Karanga (Masyabhara)kwa kilugha. Tulicheza sana utotoni wakati wa msimu wake lakin tulivyozid kuwa wakubwa upatikanaji wake ulikuwa adim na hii imechangiwa sana na kuongezeka kwa mqtumizi ya huu mti kwa ajili ya kupasua mbao na kutengenezea mkaa.
 
Uli nkafu nkamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…