Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Sisi pia tulikuwa tunaita Karanga (Masyabhara)kwa kilugha. Tulicheza sana utotoni wakati wa msimu wake lakin tulivyozid kuwa wakubwa upatikanaji wake ulikuwa adim na hii imechangiwa sana na kuongezeka kwa mqtumizi ya huu mti kwa ajili ya kupasua mbao na kutengenezea mkaa.
Hii lazma ilikuwa kule kukaja..
 
Ganda la nje gumu ukilipasua kiini chake ndio kinaliwa
Watoto huzitumia sama michezoni zina umbo la duara kama gololi
Hongera mshana, kwetu tuliziita karanga za kwenye Miti, zilitumika zaidi kuchezea kama goroli Na kushindanishana kwa Pesa/ kamari Na tamu sana ukiita Nazi ndogo hujakosea.
 
Sie tulkua tunaita vinazi umenkumbusha tengeruuu(taasisi flan Iv ya kilimo tulkua tnaenda kuiba kwenye shamba lao
Ili tunda lilkua maaruf sana kwa watt wa tengeru primary
Macadamia nuts ,ni mazuri mno yako shamba la research pale Tengeru haaa haaa
 
Nimekula sana Kadamia miaka 10 iliyopita.
Nakumbuka tulikuwa tunacheza hadi kamari ya kadamia kwa kuzamisha kwenye vishimo na kulenga.
Ukiacha kula kwa kupasua na kutafuna, pia hutwangwa na kuungwa kwenye mboga.
Nakumbuka miti mingi kuiona na mkoani Mbeya, tarafa ya Busokelo.

Nje ya hapo sijawahi kuiona TENA popote licha ya kutembea mikoa mingi.
Nakubali kwamba mmea huo unapotea.
Brother mshana, kuna matumizi mengine unifahamishe isije ikawa fursa?
 
Back
Top Bottom