Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

ndilolo
 
Kuna jamaa kaweka link hapo kilo moja si chini ya $30 yaani elfu 60 na ushee
 
Ganda la nje gumu ukilipasua kiini chake ndio kinaliwa
Watoto huzitumia sama michezoni zina umbo la duara kama gololi
kaka mshana jr:nitapata mmche wake nioteshe home mimi niko arusha kwa sasa
 
Leo nilikuwa naangalia itv kipindi cha wajasiliamali nikafuatilia mama polepole alivyokuwa anazungumzia mti pesa au mti karanga naomba kujuzwa zaidi juu ya hili tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
macadamia zinalimwa sana Tanga, Sahara mission kama sijakosea, shamba lile lilianzishwa 1945 na wakatoriki, na kipindi hicho nuts zilisafirishwa kwenda Ndanda kule Lindi.

Kwa sasa zimeanza kusambaa maeneo nje ya Tanga kama Rungwe, pia nimepata taarifa kuwa kule Uchindile kuna Wakenya wameanza kilimo hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…