Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kitabu kiitwacho mapango,mawe na miti..Tambiko limeandikwa kwenye "kitabu" gani?
Una uhakika na ulicho kisema ? Unaijua china,Malaysia na Singapore vizuri wewe?Matambiko ni Ujinga kama ulivyoujinga wa kudhani nchi inamikosi.
Ulaya,China,us,Singapore, Namibia,Malaysia hawakunya tambiko ili watoboe kimaisha.
Tatizo letu ni Ujinga tu
Kama yapi?Acha mambo ya kipuuzi
Mikosi na matatizo yanayokabili taifa hili ni matokeo ya matambiko mbalimbali ambayo nchi imefanya na kumwaga damu nyingi kwenye makafara.Mababu zetu walikuwa wanajali sana masuala ya muhimu hasa linapokuja suala la kuondoa majanga katika jamii.
Ilikuwa ikikosekana mvua na dalili za ukame kuwepo mababu zetu walifanya makafara na mizimu iliweza kulinda taifa letu.
Sasa hivi kuna balaa la ajali limeandama taifa letu. Hapa panahitajika kafara la kuondoa mikosi ya ajali. Tufanye hima watalaamu watafutwe na kafara la kuondoa mikosi lifanyike.
Nawasilisha.
Mshana Jr awe consultantMababu zetu walikuwa wanajali sana masuala ya muhimu hasa linapokuja suala la kuondoa majanga katika jamii.
Ilikuwa ikikosekana mvua na dalili za ukame kuwepo mababu zetu walifanya makafara na mizimu iliweza kulinda taifa letu.
Sasa hivi kuna balaa la ajali limeandama taifa letu. Hapa panahitajika kafara la kuondoa mikosi ya ajali. Tufanye hima watalaamu watafutwe na kafara la kuondoa mikosi lifanyike.
Nawasilisha.
Tatizo kuna genge mpaka leo wanashangilia kifo cha Dkt Magufuli. Kumbuka kiroho Dkt Magufuli alikuwa ni kiongozi.Mababu zetu walikuwa wanajali sana masuala ya muhimu hasa linapokuja suala la kuondoa majanga katika jamii.
Ilikuwa ikikosekana mvua na dalili za ukame kuwepo mababu zetu walifanya makafara na mizimu iliweza kulinda taifa letu.
Sasa hivi kuna balaa la ajali limeandama taifa letu. Hapa panahitajika kafara la kuondoa mikosi ya ajali. Tufanye hima watalaamu watafutwe na kafara la kuondoa mikosi lifanyike.
Nawasilisha.
Waafrika bhana!!Matambiko ni Ujinga kama ulivyoujinga wa kudhani nchi inamikosi.
Ulaya,China,us,Singapore, Namibia,Malaysia hawakunya tambiko ili watoboe kimaisha.
Tatizo letu ni Ujinga tu
Matambiko hayataondoa tatizo yatazidisha!! Hata hapa tulipofika ni kwa sababu ya matambiko!Mababu zetu walikuwa wanajali sana masuala ya muhimu hasa linapokuja suala la kuondoa majanga katika jamii.
Ilikuwa ikikosekana mvua na dalili za ukame kuwepo mababu zetu walifanya makafara na mizimu iliweza kulinda taifa letu.
Sasa hivi kuna balaa la ajali limeandama taifa letu. Hapa panahitajika kafara la kuondoa mikosi ya ajali. Tufanye hima watalaamu watafutwe na kafara la kuondoa mikosi lifanyike.
Nawasilisha.
Unamtambikia nani sasa Mungu au Shetani,Mkuu labda ungetofautisha kati ya matambiko mabaya na mema.
Lakini matambiko ni jambo la kawaida tu