Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
TrueMimi nahisi hayo matambiko ndio yametufikisha hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueMimi nahisi hayo matambiko ndio yametufikisha hapa
Matambiko yalishindwa kuwasaidia wakina kinjekitile Ngwale na mkwawa kujikwamua na hapo imani ya matambiko ulikuwa juu Leo ndio isaidie.Waafrika bhana!!
China mpaka leo ni among of the greatest county in the world kwasababu hawakukubali tamaduni zao kuharibiwa na watu wa magharibi.
China wanafanya vitu vyao from their own na hawa imitate tamaduni za popote pale.
Tatizo letu la Afrika linaanzia kwa viongozi mpaka raia.
Kiongozi Afrika ni Mungu mtu Lakini kiongozi kwengine ni mtoa huduma tu.
Ubinafsi,ujuaji na roho mbaya ndio tatizo letu..
Tutajie majina ya hiyo mizimu ili tusiidharau.Sio kweli acha kudharau mizimu yetu
Wazee waliokuwa na ujuzi huo walishatangulia mbele za haki.Mababu zetu walikuwa wanajali sana masuala ya muhimu hasa linapokuja suala la kuondoa majanga katika jamii.
Ilikuwa ikikosekana mvua na dalili za ukame kuwepo mababu zetu walifanya makafara na mizimu iliweza kulinda taifa letu.
Sasa hivi kuna balaa la ajali limeandama taifa letu. Hapa panahitajika kafara la kuondoa mikosi ya ajali. Tufanye hima watalaamu watafutwe na kafara la kuondoa mikosi lifanyike.
Nawasilisha.
Ninyi mnaojifanya wazungu koko eti mnapuuza vyenu taifa litaendelea kuharibika ona mnawaiga mpaka @&%#nyie kwa nyie@Tambiko limeandikwa kwenye "kitabu" gani?
Mlalafi wewe unawajua wazungu wewe,better stay coolMatambiko ni Ujinga kama ulivyoujinga wa kudhani nchi inamikosi.
Ulaya,China,us,Singapore, Namibia,Malaysia hawakunya tambiko ili watoboe kimaisha.
Tatizo letu ni Ujinga tu
Napendekeza hiyo kafara tuwatoe wale waliompiga risasi Lissu akiwemo na yule jamaa ambaye alikuwaga juu ya sheria kipindi hicho akiketi na kuhani mkuuMababu zetu walikuwa wanajali sana masuala ya muhimu hasa linapokuja suala la kuondoa majanga katika jamii.
Ilikuwa ikikosekana mvua na dalili za ukame kuwepo mababu zetu walifanya makafara na mizimu iliweza kulinda taifa letu.
Sasa hivi kuna balaa la ajali limeandama taifa letu. Hapa panahitajika kafara la kuondoa mikosi ya ajali. Tufanye hima watalaamu watafutwe na kafara la kuondoa mikosi lifanyike.
Nawasilisha.
Maendeleo huketwa na kanuni sio matambikoMlalafi wewe unawajua wazungu wewe,better stay cool
Boss kusanya familia yako na wazee wako mkatambike. Mbona huo uhuru mmepewa kikatiba kabisa?Mkuu labda ungetofautisha kati ya matambiko mabaya na mema.
Lakini matambiko ni jambo la kawaida tu
Omba kibali uliongoze bunge kutambika live TBC Mkuu. Kwa sababu hapo ni wawakilishi mambo hayataenda vibaya.Ninyi mnaojifanya wazungu koko eti mnapuuza vyenu taifa litaendelea kuharibika ona mnawaiga mpaka @&%#nyie kwa nyie@
Matambiko ni ushetani juu ya ushetani. Taifa limrudie Mungu, maasi yamezidi nowadays.Mababu zetu walikuwa wanajali sana masuala ya muhimu hasa linapokuja suala la kuondoa majanga katika jamii.
Ilikuwa ikikosekana mvua na dalili za ukame kuwepo mababu zetu walifanya makafara na mizimu iliweza kulinda taifa letu.
Sasa hivi kuna balaa la ajali limeandama taifa letu. Hapa panahitajika kafara la kuondoa mikosi ya ajali. Tufanye hima watalaamu watafutwe na kafara la kuondoa mikosi lifanyike.
Nawasilisha.
Wewe sayansi ya mzungu itakusaidia nini weweAkili za kiafrika hizi..
Badala ya kutafuta suluhisho la kisayansi..
Je barabara zetu zina standard?