Life after a very sweet love/relationship


Jamani kujivua gamba ni shughuli pevu nyie sikieni tu...
 
Reactions: Mbu

ahhaahahah .....nimekupata Mbu, ngoja nifurahie maisha kwa sasa coz ya kesho cyajui.
 
Reactions: Mbu
Pole mbu kwa kupitia kwenye milima na mabonde naona hukupata kabisa tambalale.
samahani swali la kizushi leo hii mzungu akimpiga chini na kuomba samahani mrudiane tena itakuwaje?

...Fidel!!!....pamoja kamanda.
Swali lako la kizushi hasa!...

Kwasasa keshaachana na huyo Mtasha, amekuwa kama mlokole fulani hivi, anashinda kanisani...pheewww!
No way bana,....pamoja na huruma nilonayo,...lakini kuna umuhimu wa kuyasamehe matapishi...ila siwezi weka
bayana hapa kwanini nasema hayo. Zingatia tu kwamba ....kwenye ile miaka mitano ya kuugulia, ilihusisha kutengwa na ndugu
hata wa karibu, jamaa na marafiki pia ambao hawakunielewa kwanini nimekubali kutoa talaka.
Machungu yake sio ya kitoto...acha niishie hapa...

Ila kwa kifupi, kuachana [utake usitake] kunahusisha watu wengi ambao wala hukuwategemea wataingiaje ingiaje kwenye maisha yenu. Onyo jingine hili kwa MTM na wasomaji wa hii thread....
 
bunduki yenyewe unaiogopa huku unajishawishi kuwa uko poa nayo! toka hapaaa! kwanza hebu achana na binduki yangu banaa, hebu funuka hapa! i bet u dont keep the list of hearts u have crushed, bt u can give us ur nasty experiences...
Wee nawe na hiyo binduki yako ya maji......sijui utamtisha nani...
 

Do you want to completely and permanently delete those memories? Do only one thing...! Initiate a strong, and unsolvable conflict with your ex- ....! It is from there, your minds will never waste time to think getting back to the past....!
 

ndio mana mie nasemaga nikishaachika ctataka tena kuckia neno "ndoa"...nyta2lia nilee wana sasa, kama nimeshindwana na mume wa 8 yrs na watoto wa3 tukasambaratika huku kule bac nadhani ctawezana tena na kiumbe mwanaume, ctaolewa ng'oo...
 
Reactions: Mbu

Mhhh kaka hapo kweli ulikufa kijerumani na tai shingoni hongera sana kwa maamuzi mazito.

Gamba kulivua si shughuli ndogo ni pevu watu wanaongea tu machungu yake ni makubwa sana.
 
Reactions: Mbu
ndio mana mie nasemaga nikishaachika ctataka tena kuckia neno "ndoa"...nyta2lia nilee wana sasa, kama nimeshindwana na mume wa 8 yrs na watoto wa3 tukasambaratika huku kule bac nadhani ctawezana tena na kiumbe mwanaume, ctaolewa ng'oo...

Hebu apia
Inategemea mazingira kuachwa kuna uma sana haswa kwa yule uliye mpenda.
Ukiachwa unaweza kuwa kichaa na ukikosa watu makini kwa kukupa ushauri unaweza dondokea mdomoni kwa chizi ili akufariji.
 

Thanks MJ1

And that is where i said from the beginning... fasihi!!

and to a great extent i can bet ni wachache sana mlipata B, hakyanani

Soma vizuri mtiririko halafu mseme nipo wapi, chanzo cha hadithi... Nyumba Kubwa and Kingasti almost went there and finally you took the thread back to narrow end

Kuna sehemu iliongelea vizuri sana kuhusu nani yupo wrong, balancing act

Jamni MJ1... wewe ni mtaalam wa lugha... hebu rejea mada uielewe vizuri and how i came to this level of discussion

its not a desperate situation but it is an optional analysis situation

DUH
 
do you want to completely and permanently delete those memories? Do only one thing...! Initiate a strong, and unsolvable conflict with your ex- ....! It is from there, your minds will never waste time to think getting back to the past....!
nilishajibu haya soma trhead nzima
 
Hebu apia
Inategemea mazingira kuachwa kuna uma sana haswa kwa yule uliye mpenda.
Ukiachwa unaweza kuwa kichaa na ukikosa watu makini kwa kukupa ushauri unaweza dondokea mdomoni kwa chizi ili akufariji.

kwangu hiyo ni big NO...faraja nitaipata kw awanangu, ntafarijika japo kwa kunipa/kupata products za nguvu kutoka kwake.
 
kwangu hiyo ni big NO...faraja nitaipata kw awanangu, ntafarijika japo kwa kunipa/kupata products za nguvu kutoka kwake.

Unaongea tu Nyamayao sasa na swala la nature nalo wanao watakufariji? namaanisha ukishikwa na hamu
 
huh...it's more of a Circus than a Circle buddy!...kuna kipindi utajihisi wewe ni 'Clown' tu hapa duniani...


very true mkuu... i have seen more than once in this thread watu wansema it takes two to tangle.... i hope validity holds water still

hah! acheni mchezo na hii kitu Divorce, hasa ikiwa haikuwa dhumuni lako muachane.
Mine (grievances) was 5yrs trying to reason what happenned. Kila mtu na uweza wake wa kuugulia machungu haya.
Wengi wenu mnasoma threads na postings zangu, labda mnaweza connect hizi jigsaws,....

I love this one.... I am sure hii iko clear

twwaaaiibb!!

Mkuu Mbu.... nimependa ulivyo own the advice in a intimate manner

I am sure kuna lessons learnt hapa za kufa mtu
 
hahaha,MTM broda! i feel u. nadhani i have the same wondering mind, sometimes it wonders too much im afraid im gonna loose it! lakini inasaidia sana kwa kweli. mimi nilijiandaa kwa ku-wonder na kufanya situational analysis way back (nikiwa primary skul). kuna mengine as i grow up nagundua siku-project vizuri sana, lakini i am updating my manual kadri ninavyovutiwa! na huko ndo nilipofikia uamuzi huu, kuwa kuachana na mwenzi baada ya efforts zote kum-keep kushindikana ni less evil and painful kuliko kufiwa na umpendae akupendae!
pull ur angle, muache wifi yetu nae a-pull angle yake. jahazi litafika tu hili,inshallah!
 
Unaongea tu Nyamayao sasa na swala la nature nalo wanao watakufariji? namaanisha ukishikwa na hamu

Hii kitu ndo huwaga siielewi mimi kusema ukweli na najua nikianzaihoji ntakuwa natoka nje ya mada ya MTM..............!! but sidhani kama wanawake tuko sawa na wanaume katika hili!!! Ni mtazamo wangu
 
pole mwaya. ukubwa dawa, walau najua gamba lingine litaota sana. nature ni kitu kizuri sana... unajua wakati mwingine nawaza jinsi ambavyo dunia ingekuwa na amani kama kungekuwa hakuna mapenzi kabisa, i mean hata yale ya mijusi hakuna! manake hata hao hupigania wenza!

Mi nilivuliwa sikujivua
Yaani mpaka nikachubuka gamba lilitoka na ngozi
 

Nisamehe kaka yangu nadhani nimekuwa muoga wa bure maana sijaisoma thread yote kwa uwoga................ phhwee ngoja nifanye homework vizuri Kamanda
 
Unaongea tu Nyamayao sasa na swala la nature nalo wanao watakufariji? namaanisha ukishikwa na hamu

hilo swali nililitegemea kutoka kwako...nimesema ctaolewa hayo mengine yatawezekana tu, c binadamu mie? ntajitimizia haja ya mwili but kukaa ndani kama mume na mke ni hapana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…