afu nyie mnaopinga divorce, kuna mtu kawatuma eeh? nimestukia,sitishiki, hehehe!
jokes aside: i blv in divorce aisee, if u arnt happy together for serious matters kama physical abuse, serial cheating (kuna wenza wako vulnerable yy hata kwenye lami anateleza,mweh!) na mengineyo (kwa mfano, i cant put up with issues za uchawi). emotionl abuse pia,especially inapokuja mambo ya kukosa staha na utukanana even mbele za watu, nadhani inakuwa biashara kichaa. Bt yote yana Mungu, i believe huwezi kupiga makasia alone. nadhani nimejizoesha ku-adopt na ku-adapt to all situations. hivi mlishafikiria yule mtu ambaye anafiwa na mwenzi wake, mikononi mwake with lips signaling ''i love u King'asti wangu, take good care of ur self for me..'' halafu anakata roho? uchungu na upweke wake, manake hamjagombana na haja-choose kukuacha! i bet hiyo inaumiza zaidi kwa hiyo kama ni kuachana by choice mi nadhani ni nusu shari. so i will be fine with it![/QUO
bwana.... king'ast hatupingi completely ila hatupendi zitokee