Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
KAMANDA
hakiachwi kitu, tuliachia mungu tukaishia kumchagua kikwete
miaka hii kila kitu kinahitaji in epth analysis mkuu
Hahahahaha kuna ishu ya kuchakachuliwa nafikiri unalielewa sana hili.
Fikiria unakolewa kwa mwenzio na umezimika kwa 10+ mwisho wa siku akakwambia now the end of our love.
Sasa hapo ndipo Mungu anapo fanya kazi yake na faraja tosha utapata toka kwa Mungu kwa kumrudia Mungu then unajipanga upya.
Kikubwa kamanda ni kukubali matokeo huna jinsi uking'ang'ania inakula kwako.