Life after a very sweet love/relationship


I am just wondering... after over 200 posts.......... how can one prepare for a life after the person you have loved and enjoyed life with for 10+, have you ever imagined how it feels?

Please Note: Post number one has never been edited!!
 
Reactions: Mbu
Kaizer... mbona unawatoa watu darasani?
 
Kaizer... mbona unawatoa watu darasani?

Orait...kumbe watu wanasoma hapa eeh.....ina maana wanajifunza , wana kiu ya elimu hiii

sasa, wengine si unaona wameingia porini kabisa...swali lako hilo....
 
Orait...kumbe watu wanasoma hapa eeh.....ina maana wanajifunza , wana kiu ya elimu hiii

sasa, wengine si unaona wameingia porini kabisa...swali lako hilo....

mpwa umepotea kama jasho la kuku.

Unajua hapa watu tunajifunza madhara ya kujivua gamba au kuvuliwa gamba la mapenzi.
 
mpwa umepotea kama jasho la kuku.

Unajua hapa watu tunajifunza madhara ya kujivua gamba au kuvuliwa gamba la mapenzi.

Pia madhara ya gamba likivuka lenyewe
 
MTM to start with one have to give it enough time to remember all those memories na kuzizoea kama memories nzuri....then ajaribu pia kuzikumbuka na zile bad ones ...................and to do this one anatakiwa kwenda mbali na alipo huyo aliyeshirikiana naye kuzitengeneza!
 
Pia madhara ya gamba likivuka lenyewe

hahahaha sasa hapo si mmojawapo anakuwa kavuliwa na kuacha solembwa
Machungu yake jamani ni zaidi ya kuungua maana utapona na kubaki na kovu
 
How does that feel mh...its a bit difficult mydia to imagine itafeel vipi but certainly one will feel empty, depressed and all the misery feelings...its not easy am telling you

Nadhani Mbu anatoa shule nzuri sana katika hii na kama alivyosema dotusijidanganye kuwa inahusisha maamuzi yenu wewe na yeye tu la hasha, wataingia hata usiowadhania!! including kutengwa na watu wa karibu yako!
 

Tunasaidiana tu namna ya kuishi na opposite sex, hivi nikiangalia, nawaza sana Mungu aliwaza nini sijui
ni kama adam na hawa wageendelea tu mengine yamekuwa raha kungekuwa na jinsi ingine ya kuongeza nchi
 

kamandaaaaaaaaaaaaaaa.... hebu nipe uzoefu wako kidogo mazee
 
<br />
<br />
dah! Sitaki kabisa kuimagine. Sitaki kujiandaa. Ikitokea kitaeleweka.
 
Kamanda ninafikiri mtu anawezajikuta anapata confused feelings kutoka pande mbalimbali.Hata hivyo kuu zitakuwa feelings zile za how to do with the external and internal world.

Externally, mtu atafeel hacra, chuki, deni la kujiexpress, aibu n.k why
1. Hacra- unless mtu ahame mj japo kwa muda but actegemee hii process itapita smoothly au ni decision ambayo itasawazika hata kwa yeye kujifungia ndani mwaka kisha akatoka na decision and Hoooray amesucceed. No. Jua kutakuwa na opposing side ambayo haitakubali ku'achika' hivi hivi tu. Kumbuka hata kama naye atakuwa na nia ya kuterminate mkataba huu ulidumu niaka 10 bao hatakuwa tayari kubeba lawama kuwa ameruhusu au yeye ni chanzo. Atajitahidi awezavyo uonekane wewe nidiye mbaya, atakuchafua awezavyo ili mradi uchafuke na cha kushangaza hata ukimwuliza kama anavyokuchafua anawish for a divorce bado hatokubali na kukujibu YES.............HASIRA
2. Chuki- katika process hiyo ya yeye kukuchafua utajikuta unajenga chuki na yeye na wale wote wanaomsupport na vile vile nawe utachukiwa kwa yale anayokutangazia. Utajichukia na wewe mwenyewe kwa nini ulifanya decision ya kumdate siku ya kwanza, utajichukia kwa kumpa nafasi ya kushare nawe sehemu ya maisha yako ilimradi tu CHUKI
3. Deni- kama utabakia mji mmoja na yeye ni wazi yae atakayokupakaza, na yle wengine watakayokusemea utajikuta tu unatamani kuyajibu ili watu waelewe hasa kinachoendelea au kilichotokea na hapo ukipewa nafasi tu utamwaga sumu ili either naye achafuke au kuelezea ukweli wa mambo.

Lakini pia internally utakuwa na ixed feelings apart from ile chuki yako sometimes kama hutokuwa strong unawezajikuta unarudisha majeshi nyuma na kujaribu kureconcile the situation. Ni ngumu Kamanda.
 
I am just wondering... after over 200 posts.......... how can one prepare for a life after the person you have loved and enjoyed life with for 10+, have you ever imagined how it feels?

Please Note: Post number one has never been edited!!

MTM sasa naomba nikujibu swali lako la msingi kama ifuatavyo;

'kama msiba unavyokuja...!' ....hata ujiandae vipi, au ujuavyo mgonjwa wako
yu mahututi kiasi gani....machungu ya kufiwa ni yale yale.
Hakuna cha kujiandaa utaliaje,...

Unachoweza kujiandaa ni utaishi vipi baada ya kuondokewa na mwenzako.
Feelings (kama msiba, njaa, usingizi, kupenda etc) hazina jinsi ya kujiandaa.
...uta deal nalo one day at a time.
 

Finally............. SWALI LILIKUA NI UNAJIANDAA-ANDAAJE??

Viva MMU
 
Reactions: Mbu
<br />
<br />
wonderful comment,nimetamani kile kitufe cha thanks nikugongee...Thanks Mbu
 
Huyo uliyeweza kuishi naye for 10+ years ni bora kuliko ambaye utaanza naye 0+ years. Tatizo tunaweza kuacha vizuri na kutumbukia vibaya ndo maana asilimia kubwa ya past relations kama hamkuachana kwa matusi na kejeli basi jua suku moja mtaonjana tu.
 

Kingásti asante mpendwa!..not easy ila ndiyo hivyo tena maisha lazima yaendelee!!..Ooh God yani siku aliyonitamkia mbele ya mwanamke wake mwingine kuwa 'I love her and she loves me. She is pregnant, we are expecting a son'. Nakwambia nilichoka, huwa naliaga ila siku hiyo sikulia nikabaki na-rewind yale maneno kila kukicha..
Watu wanasema kuwa uyaone ila mimi nilizeeka kabisa...Huyu kaka sijawahi acha kumpenda ila I had to let him go mana naona ameniumiza vya kutosha!!..
 
Sasa ni wakati wa majumuisho
 
Reactions: Mbu
jumuisho langu b4 kaizer hajatukimbiza na kiboko hapa:
1 there is more to life than meets the eye
2 enjoy the present day. yesterday is gone, tomorrow may never come
3 let go! u dont have to have anything in this life to be happy. dont let ur happiness solely rely on what others do. plus,things happens for a erason (citation: kuna rafiki yangu aliambiwa na bf wake wa kwanza,out of nowhere 'its over.im in love with someone else'. jamaa aka-move in na mdada mwingine, aftr a yr huyo dada mjamzito and the guy died in a tragic accident. nilimuambia rafiki yangu 'u couldnt bear the pain of burying him, Mungu alikuepusha'!)
4 play ur part, pray and hope the rest works out.
:clap2: mh supika,naunga mkono hoja (hata sijajua ni hoja gani,bt anyways!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…