TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
- Thread starter
- #41
Lizzy mtu aliyeacha mara ya kwanza ni mwepesi ku move on mahusiano yanayofata yakimboa tena, sababu aliweza tu kuthubutu kufanya kitu ambacho wengi wanashindwa kukifanya, then mtihani anakuwa amemaliza, hapo ndio nilimaanisha mimi,kuna wanaojifunza sana kutokana na makosa, but hata wakiacha au kuachwa maumivu si kama yale ya kwanza, wa kwanza ni wa kwanza tu
Wait a minute BB
Hivi kuacha mara nyingi ndio kusema huna furaha?? sio kwamba you have more options and you are a happier person for moving on when you want?