Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Swali lako zuri sana.
Nadhani mwanzo niligusia hilo kwamba my only regret was/is ningefanya jitihada zaidi labda leo hii hadithi ingekuwa nyingine. Na hilo ni miongoni mwa jambo nilolaumiwa sana na familia kwanini nimejichukulia maamuzi bila kuwashirikisha. Tukumbuke, kwenye jamii zetu za kibantu, kuoa na kuolewa unajumuisha Ndugu, jamaa na marafiki wa pande zote. Kuachana ni hivyo hivyo.
Kumbuka pia, katika maelezo yangu na thread zangu nyingi nimekuwa nagusia aftermath. Yaani baada ya Divorce,
Can you link my regret hapo na ile first incidence? Ushaona kwanini iwapo ningeyajua yajayo, ni bora ningebakia na 'jini nilijualo?' Lakini hapo hapo, Niliamini mtu aki demand divorce,...nami nikamnyima,...ina maana ningefanyiwa visa na vituko kiasi mwenyewe ningejionea bora kuitoa hiyo Talaka.
Guys & Dolls,...nimeongea yote. Naomba niishie hapa ....mkiendelea kuniuliza ina maana mnataka nitaje na jina kangu na hao wahusika. Ngojeni kwanza mambo yakae sawa, tutajuana tu huko mbele ya safari.
Shantel na Blackberry acheni huo uchokozi,...lol....eti Underground trains, Heathrow na Gatwick Airports...hhha hhaha
Am out!!!
Ahsante MBU...na samahani kwa kurudisha nyuma kidogo!!!