Life after Death: What happens after death?

unacheza bahati nasibu? kwa nn uamini kitu usicho na ushahidi nacho? ni tamaa tu ya kutaka kuishi milele au!!!

Mkuu hakuna suala la bahati nasibu,kuishi milele kila mwanadamu ataishi milele baada ya kufa lakini inategemea,
ni Mbinguni milele kwa waliompokea YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao,na kuna motoni milele kwa
wale walioishi maisha ya dhambi kwa sababu walimkataa YESU'
 
the opposite of life is death and reversal:crazy: is true. how dare are you?!! hivyo iweje death iwe ni life, when yo die your body will be converted into manure...:cool2:
 
Binadamu akishakufa amekufa,ther is no life after death
 

Hao watakaokwenda motoni na Kua wanateketezwa milele na Kwa maelezo yako watakua wanaishi milele! Swali ni kwamba watakua wanaishi wapi Hiyo melele?
 
Hakuna ugumu wowote katika njia ya kuufikia ukweli na masharti yake hayana ugumu wowote.binafsi nina zaidi ya miaka 20 ktk practise na kuona kwamba hili linawezekana kabisa.Je upo tayari uelekezwe SANT MAT?
 
 
 
Katika vitu ambavyo wazungu walifanikiwa kudanganya..basi ni hii habari ya ufufuo!!
 

Mkuu Pasco hapo umeongelea hatma ya roho za hao jamaa wanaoweza kuishi milele!

Napenda kufaham hatma ya roho za watu wa kawaida ambao hawawezi kurenew body! Plz plz plz!

Natanguliza shukurani mkuu!
 
Mkuu Pasco hapo umeongelea hatma ya roho za hao jamaa wanaoweza kuishi milele!

Napenda kufaham hatma ya roho za watu wa kawaida ambao hawawezi kurenew body! Plz plz plz!

Natanguliza shukurani mkuu!
Dini zote mbili zinafundisha hili, ila nitatoa reference ya dini yangu Christians!.
Ukifa kinachokufa ni mwili, roho inakwenda kuzimuni "lent" kusubiria ile siku ya "hukumu ya mwisho" atakaporudi "Mwana wa Adamu" kuwahukumu wazima na wafu, ambapo kutatokea ufufuo wa miili kuelekea kwenye "uzima wa milele" be it "mbinguni au peponi" kwenye "raha ya milele" au "motoni" au jehanum kwenye ziwa la moto wa milele ambako huko kuna kilio cha kusaga meno!".

Kwa mujibu wa sisi Wakatoliki, roho zote zinasubiri siku ya ufufuko wa miili!. Mimi ni Mkatoliki, najua hili sii kweli!. Naamini in "life after life" na "life before life", ukifa, kinachokufa ni mwili tuu, na ukizikewa, mwili huo unaoza!, hakuna cha ufufuko wa miili bali hiyo siku ya mwisho, ni ufufuko wa "astral bodies" au "spiritual bodies" ambazo huwa hazifi!.

Pasco.
 

Mkuu Pasco bado nnakigugumizi!

1 Ikiwa ni hivyo, kwanini baadhi ya watu wakishinde kifo? Jee kifo kipo mikononi kwa Mungu au kipo mikononi mwa wanadamu?

2 Hizo theories na practice za hao wanaoshinda kifo na wale watu wa yoga, wote wanapinga uwepo wa Mungu na hawaamini uwepo wa pepo/mbingu na moto! Wewe unaweka sana masomo ya namna hii (kwa mtazamo wangu na huenda nisiwe sahihi!) Nahisi kama kuna mkanganyiko fulani hapo! Embu nisaidie theory ya hao jamaa wanaongelea vipi life after death hasa kwa watu wasioweza kukishinda kifo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…