Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mashaksizo,Mkuu Pasco bado nnakigugumizi!
1 Ikiwa ni hivyo, kwanini baadhi ya watu wakishinde kifo? Jee kifo kipo mikononi kwa Mungu au kipo mikononi mwa wanadamu?
2 Hizo theories na practice za hao wanaoshinda kifo na wale watu wa yoga, wote wanapinga uwepo wa Mungu na hawaamini uwepo wa pepo/mbingu na moto! Wewe unaweka sana masomo ya namna hii (kwa mtazamo wangu na huenda nisiwe sahihi!) Nahisi kama kuna mkanganyiko fulani hapo! Embu nisaidie theory ya hao jamaa wanaongelea vipi life after death hasa kwa watu wasioweza kukishinda kifo!
Mkuu Mashaksizo,
Pasco
- Mungu alipotuumba, alitupa na uwezo wa Kimungu ndani yetu!, kuna watu wengi wanakufa prematurely simply because wanakikubali kifo!. Baada ya Mungu kutuumba na kutupa utashi, life is upon us to decide how we live!. Mleta uhai ndie mtoa uhai, siku yako ya aliyokupangia ikifika utakufa hata bila ugonjwa au tatizo lolote!. Kitendo chu Mungu kutuumba ndio kinatwa creation, God created life!, devil ana destroy life!, hivyo kuna vifo vingi vinasababishwa na destruction ya shetani, sasa hivi untimely deaths zinazopangwa na shetani, ndio vifo ambavyo unaweza kuvizuia na kunshinda shetani!.
- Yoga, meditations, Bidhiisim, Hinduisim etc, hazipingi uwepo wa Mungu, wanachopinga ni jina tuu linalotumiwa kumrepresent Mungu!, jina la God, in actual sense "God is power!", imani zote zinaamini presence of " Higher powers!", The Supreme Being!, call him what you may, be it God, Father, Light, Mungu, Mulungu etc, na hata zile dini zebu za asili, believed in higher powers owe ni mti, lima, kichuguu, pango, kisima, maji, etc, the issue is "higher powers!".
- Death is only the change of form, kinachokufa ni body tuu, spirit, roho haifi!, Kwasioweza kukishinda kifo, ukifa mwili unazikwa, unaoza, and that is the end of you, body!, ila roho yako, your spirits continue to live!. Wakristu Wakatoliki wanaamini roho inashukia kuzimu kusubiria siku ya hukumu ya mwisho!. Huo ndio mwisho wa uwezo wao wa kufikiri according to mafundisho ya Kikatoliki!, lakini Wakatoliki hawa hawa wangekwenda beyond death, ndio wangejua life goes on!, hakuna ufufuko wa dead rotten bodies!, ufufuko ni wa spiritual bodies, astral bodies, ile miili ya nyama ikiishazikwa ndio the end of business ya miili, inaoza na kugeuka mavumbi!.
na kama huna imani ndugu yangu hapo itakuaje?
kama huna imani basi nadhani roho na mwili wako pia hauna fikra kuwa upo duniani.
Yes there is life after death,what to consider is the state in which one dies,sinful or sinless.If is sinful no life and the opposite is true.Knowledge yetu ya maisha is limited to the ordinary life. Ukikubali kujua zaidi ya unachojua, na ukiwa tayari kujua, mwalimu atakuja na kukufunulia yale usiyoyajua kuhusu maisha. Mwalimu huyo atakupeleka kwenye 'enlightment' ya kujua deeper Into life, before life na after life.
Siku ambayo mwalimu atakuja ni wakati ukiwa tayari 'when the student is ready, the teacher will apear'.
Bada sijafikia kiwango cha kumpata mwalimu, lakini kwa mujibu wa maandiko ya wafuasi wa jumuiya ya 'Rosae Crusis' Msalaba wenye uaridi linalotiririsha matone ya damu wanaamini, kuna maisha kabla ya haya na kuna maisha baada ya haya. Yaani 'life before life' na 'life after life'.
Wafuasi wa Rosae Crusis wanaitwa ma 'rosecrusians'. Hawa jamaa wanauwezo wa kufanya kila kitu, uwezo wa kuwepo mahali popote in a split of second, uwezo wa kuwa invicible na uwezo wa kutenda miujiza.
Kwenye maandiko yao, wanadai Jesus Crist was a rosecrusian. Kuna uwezekano hawa wahubiri wanaofanya miujiza ni marosecrusians.
Wao wanaamini kuna 'Supreme Being', call him what you may, be God, Allah, Budha, Brahma, Bahai,etc. Uli kumfikia lazima upitie mbingu 7 waziitazo Eternities. Katika safari yako, utazaliwa, utakufa, utaliwa, utakufa na kuendelea hivyo hivyo mpaka ufike kwenye 7th Eternity.
Ukufanikiwa kuwa enlighterned, you have the control of death. Yaani unashinda kifo na unaishi milele, ila lazima ubadilishe body from time to time kwa sababu mwili unachakaa mapema.
Mwandishi Linda Goodmans kwenye kitabu chake cha 'Star Signs'
Anasema, you have the control over death na kuna watu aliwajua toka akiwa mdogo, na wanaishi mpaka kesho na umri usio hesabika.
Linda anasema, kwa vile watu huishi takriban miaka 100, ukiweza kuyashinda mauti, unafikia muda wale wote wa rika lako wamekufa mpaka unaona noma, its time to change body, unakubali kufa, wanazika mwili, huku in actual fact, umehama mwili na kuchukua mwili mpya na kuishi maisha mapya mahali papya au hata pale pale kama mtu mwingine.
Mimi kwa kiasi fulani nakubaliana nao, tatizo ili ukubaliwe kuwa mmoja wao, lazima ukubali kula kiapo cha usiri na kufanyiwa initiations na hapo ndipo palipo nishinda nikaamua kukubali kuishi maisha haya ya kawaida na knowledge haba. Haya machache nimeyasoma kwa wizi toka vitabu vya muumini viitwavyo 'monograms'. Mambo ya 'de-javu' ni vitu vya ukweli, only vivid of life before life.
Mkuu Mashaksizo,
Pasco
- Mungu alipotuumba, alitupa na uwezo wa Kimungu ndani yetu!, kuna watu wengi wanakufa prematurely simply because wanakikubali kifo!. Baada ya Mungu kutuumba na kutupa utashi, life is upon us to decide how we live!. Mleta uhai ndie mtoa uhai, siku yako ya aliyokupangia ikifika utakufa hata bila ugonjwa au tatizo lolote!. Kitendo chu Mungu kutuumba ndio kinatwa creation, God created life!, devil ana destroy life!, hivyo kuna vifo vingi vinasababishwa na destruction ya shetani, sasa hivi untimely deaths zinazopangwa na shetani, ndio vifo ambavyo unaweza kuvizuia na kunshinda shetani!.
- Yoga, meditations, Bidhiisim, Hinduisim etc, hazipingi uwepo wa Mungu, wanachopinga ni jina tuu linalotumiwa kumrepresent Mungu!, jina la God, in actual sense "God is power!", imani zote zinaamini presence of " Higher powers!", The Supreme Being!, call him what you may, be it God, Father, Light, Mungu, Mulungu etc, na hata zile dini zebu za asili, believed in higher powers owe ni mti, lima, kichuguu, pango, kisima, maji, etc, the issue is "higher powers!".
- Death is only the change of form, kinachokufa ni body tuu, spirit, roho haifi!, Kwasioweza kukishinda kifo, ukifa mwili unazikwa, unaoza, and that is the end of you, body!, ila roho yako, your spirits continue to live!. Wakristu Wakatoliki wanaamini roho inashukia kuzimu kusubiria siku ya hukumu ya mwisho!. Huo ndio mwisho wa uwezo wao wa kufikiri according to mafundisho ya Kikatoliki!, lakini Wakatoliki hawa hawa wangekwenda beyond death, ndio wangejua life goes on!, hakuna ufufuko wa dead rotten bodies!, ufufuko ni wa spiritual bodies, astral bodies, ile miili ya nyama ikiishazikwa ndio the end of business ya miili, inaoza na kugeuka mavumbi!.
Mkuu hakuna suala la bahati nasibu,kuishi milele kila mwanadamu ataishi milele baada ya kufa lakini inategemea,
ni Mbinguni milele kwa waliompokea YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao,na kuna motoni milele kwa
wale walioishi maisha ya dhambi kwa sababu walimkataa YESU'
Mkuu Lebron Wade,Mkuu usiingize dini...Unajua karibu robo tatu ya dunia haijui neno "yesu" ni nini!???[sorry,i don mean any disrepect,namuamini pia]......Elezea kisayansi kama ni kweli mtu akifa then kuna maisha yanaendelea with him/her in another dimension...
yes there is life after death,what to consider is the state in which one dies,sinful or sinless.if is sinful no life and the opposite is true.
After death is decay nothing and nothing more
No life afta death
Maisha ni mchakato usio na mwisho, na mchakato huo huendelea hata baada ya roho kuachana na mwili. Hiki kinachoitwa kifo ni ile hali ya roho kuachana na mwili na hivyo kufanya shughuli zote za mwili kuacha kufanya Nazi
Roho haifi bali hutoka na kuwa kitu kingine kabisa. Someni THE REALM OF REINCARNATION, THE STATE OF DEATH, THE REALITY OF CAUSE AND EFFECT, LIFE AFTER DEATH, DEATH: A STATE, LIFE IN HEAVEN, LIFE IN HELL...maandiko yote haya yanaongelea kwa mapana na uchambuzi was kina kuhusu maisha baada ya kifo!
Sasa haitoshi tu kusema hakuna maisha baada ya kifo bila kuja na hoja jadidi