Life after Death: What happens after death?

There is no life after death, watu mnachanganya DEATH na NEAR DEATH EXPERIENCE (NDE)
 
Mkuu Mashaksizo,

  1. Mungu alipotuumba, alitupa na uwezo wa Kimungu ndani yetu!, kuna watu wengi wanakufa prematurely simply because wanakikubali kifo!. Baada ya Mungu kutuumba na kutupa utashi, life is upon us to decide how we live!. Mleta uhai ndie mtoa uhai, siku yako ya aliyokupangia ikifika utakufa hata bila ugonjwa au tatizo lolote!. Kitendo chu Mungu kutuumba ndio kinatwa creation, God created life!, devil ana destroy life!, hivyo kuna vifo vingi vinasababishwa na destruction ya shetani, sasa hivi untimely deaths zinazopangwa na shetani, ndio vifo ambavyo unaweza kuvizuia na kunshinda shetani!.
  2. Yoga, meditations, Bidhiisim, Hinduisim etc, hazipingi uwepo wa Mungu, wanachopinga ni jina tuu linalotumiwa kumrepresent Mungu!, jina la God, in actual sense "God is power!", imani zote zinaamini presence of " Higher powers!", The Supreme Being!, call him what you may, be it God, Father, Light, Mungu, Mulungu etc, na hata zile dini zebu za asili, believed in higher powers owe ni mti, lima, kichuguu, pango, kisima, maji, etc, the issue is "higher powers!".
  3. Death is only the change of form, kinachokufa ni body tuu, spirit, roho haifi!, Kwasioweza kukishinda kifo, ukifa mwili unazikwa, unaoza, and that is the end of you, body!, ila roho yako, your spirits continue to live!. Wakristu Wakatoliki wanaamini roho inashukia kuzimu kusubiria siku ya hukumu ya mwisho!. Huo ndio mwisho wa uwezo wao wa kufikiri according to mafundisho ya Kikatoliki!, lakini Wakatoliki hawa hawa wangekwenda beyond death, ndio wangejua life goes on!, hakuna ufufuko wa dead rotten bodies!, ufufuko ni wa spiritual bodies, astral bodies, ile miili ya nyama ikiishazikwa ndio the end of business ya miili, inaoza na kugeuka mavumbi!.
Pasco
 
Thanks sana Mkuu Pasco kwa kunipa somo hapa.

Hapo kwenye ufufuko wa astral body/spiritual body kama sijakupata vizuri!

Umesema body inakufa na kuoza. Na haiwezi kurudi tena.

Roho/soul/spirit haifi, huondoka ktk mwili wa marehemu na kuelekea kuzimu!

Then ukasema kuna ufufuko wa astral body/spiritual body.

Hii astral/spiritual body itafufuka vipi wakati haikufa?
 
Yes there is life after death.
Either you go to heaven
oOr you go to hell

There is no ground zero.
 
Inasemekana kutokana na hasira ya M'Mungu kwa Adam na Eva kula tunda la ufaham wa mema na mabaya, lazima kila mtu ataonja kifo mpaka masiha arudi kuwafufua wafu kwa ajili ya hukumu kuu. Kwa watakao bahatika kuwa wema watataishi milele wale waovu watahukumiwa pamoja na shetani kuingia motoni..hata Yesu alikufa kwa siku tatu kabla ya kufufuka na baadae kupaa mbinguni kuungana na M'Mungu.
 
Yes there is life after death,what to consider is the state in which one dies,sinful or sinless.If is sinful no life and the opposite is true.
 
Theory nyiiingi kama ushaprove chochote...wewe umesikia story,na unahadithia story...hujaprove chochote,na hamna mtu alieprove chochote...

Tatizo umesoma theory za wenzako,then unatuaminisha ni sahihi kabisa,kumbe wanachokiongea ni kutokana na utashi wao wanavyoona
 
Mkuu usiingize dini...Unajua karibu robo tatu ya dunia haijui neno "yesu" ni nini!???[sorry,i don mean any disrepect,namuamini pia]......Elezea kisayansi kama ni kweli mtu akifa then kuna maisha yanaendelea with him/her in another dimension...
 
Mfalme Sulemani alisema 'KIFO ni kinyume cha UHAI'- Kwa hiyo mambo yanayofanyika ukiwa hai,hautayafanya ukiwa umekufa.
 
Mkuu usiingize dini...Unajua karibu robo tatu ya dunia haijui neno "yesu" ni nini!???[sorry,i don mean any disrepect,namuamini pia]......Elezea kisayansi kama ni kweli mtu akifa then kuna maisha yanaendelea with him/her in another dimension...
Mkuu Lebron Wade,

  1. Mungu alipotuumba, alitupa na uwezo wa Kimungu ndani yetu!, kuna watu wengi wanakufa prematurely simply because wanakikubali kifo!. Baada ya Mungu kutuumba na kutupa utashi, life is upon us to decide how we live!. Mleta uhai ndie mtoa uhai, siku yako ya aliyokupangia ikifika utakufa hata bila ugonjwa au tatizo lolote!. Kitendo chu Mungu kutuumba ndio kinatwa creation, God created life!, devil ana destroy life!, hivyo kuna vifo vingi vinasababishwa na destruction ya shetani, sasa hivi untimely deaths zinazopangwa na shetani, ndio vifo ambavyo unaweza kuvizuia na kunshinda shetani!.
  2. Yoga, meditations, Bidhiisim, Hinduisim etc, hazipingi uwepo wa Mungu, wanachopinga ni jina tuu linalotumiwa kumrepresent Mungu!, jina la God, in actual sense "God is power!", imani zote zinaamini presence of " Higher powers!", The Supreme Being!, call him what you may, be it God, Father, Light, Mungu, Mulungu etc, na hata zile dini zebu za asili, believed in higher powers owe ni mti, lima, kichuguu, pango, kisima, maji, etc, the issue is "higher powers!".
  3. Death is only the change of form, kinachokufa ni body tuu, spirit, roho haifi!, Kwasioweza kukishinda kifo, ukifa mwili unazikwa, unaoza, and that is the end of you, body!, ila roho yako, your spirits continue to live!. Wakristu Wakatoliki wanaamini roho inashukia kuzimu kusubiria siku ya hukumu ya mwisho!. Huo ndio mwisho wa uwezo wao wa kufikiri according to mafundisho ya Kikatoliki!, lakini Wakatoliki hawa hawa wangekwenda beyond death, ndio wangejua life goes on!, hakuna ufufuko wa dead rotten bodies!, ufufuko ni wa spiritual bodies, astral bodies, ile miili ya nyama ikiishazikwa ndio the end of business ya miili, inaoza na kugeuka mavumbi!.

Pasco
 
yes there is life after death,what to consider is the state in which one dies,sinful or sinless.if is sinful no life and the opposite is true.

not real if its sinful there is life but a burning hell forever or infinity
 
After death is decay nothing and nothing more

No life afta death

Maisha ni mchakato usio na mwisho, na mchakato huo huendelea hata baada ya roho kuachana na mwili. Hiki kinachoitwa kifo ni ile hali ya roho kuachana na mwili na hivyo kufanya shughuli zote za mwili kuacha kufanya Nazi

Roho haifi bali hutoka na kuwa kitu kingine kabisa. Someni THE REALM OF REINCARNATION, THE STATE OF DEATH, THE REALITY OF CAUSE AND EFFECT, LIFE AFTER DEATH, DEATH: A STATE, LIFE IN HEAVEN, LIFE IN HELL...maandiko yote haya yanaongelea kwa mapana na uchambuzi was kina kuhusu maisha baada ya kifo!

Sasa haitoshi tu kusema hakuna maisha baada ya kifo bila kuja na hoja jadidi
 
Mkuu
Hizo mentions hapo juu umezisoma zote wewe?
Tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…