Life after Death: What happens after death?

nanukuu, ''kilicho kufa ni mwili tuu, lakini roho zao zipo, na hapo msibani wapo, wanaona kila kitu, wanasikia kila kitu, na baada ya mazishi, roho hizo zinaishi milele''.
wanaona na kusikia kupitia nini ikiwa mwili umekufa na kuoza.
Mwili wa binaadamu una sehemu mbili, physical body and spiritual body. Physical body ndio ule mwili wa nyama, una unaonika, unashikika, unapata maradhi, unakufa na unaoza.

Mwili wa spiritual body ni roho, spirit, haushikiki, hauonekaniki, haufi, unaishi milele.

Spiritual body unaiona kupigwa spiritual eyes na unasikia kupitia spiritual ears. Hii spiritual body ndio ile pumzi Mungu aliyotupulizia.

Hivyo wapendwa wetu, japo hawapo nasi kimwili, ila bado wapo nasi kiroho.
P.
 
Kunapotokea msiba ni kukumbushana tuu kilicho kufa ni mwili tuu, lakini roho haifi ipo na itaishi milele, hivyo watu msilie saana hadi kukufuru, let's celebrate the lives za Wapendwa wetu.
P
spiritualism.
kwa maana hii hakuna kifo bali change of state.
kusema hivi wanadamu ni miungu maana Mungu peke yake ndiye hapatikani na mauti. ila anaweza kuchange state. mfano incarnation.
 
spiritualism.
kwa maana hii hakuna kifo bali change of state.
kusema hivi wanadamu ni miungu maana Mungu peke yake ndiye hapatikani na mauti. ila anaweza kuchange state. mfano incarnation.
This is exactly what human soul is. Mungu alipotupulizia ile life force, pia ametupa uungu, hivyo human soul is immortal. Kifo is just a change of state from physical body into spiritual body na inaishi milele.

Ule uungu Mungu aliyotuwekea, ndipo the omnipotent, omnipresent na Omniscience of human body, hata wale wahubiri wa miujiza, kinachotibu kwenye faith healing, ni nguvu za uungu zilizo ndani yako na sio nguvu za muhubiri. Kazi ya mhubiri ni kuzifungulia tuu.
P
 
Huku ni kupeana moyo tu sababu hamna aliyekufa kisha akatoa ushuhuda wa life after death.
Ni assumptions tu.
 
Huku ni kupeana moyo tu sababu hamna aliyekufa kisha akatoa ushuhuda wa life after death.
Ni assumptions tu.
Tunaishi kwa imani. Hakuna akiyekwenda mbinguni halafu akarejea kutuhadithia.

Proof ya life after death, life after life na life before life, ipo kwenye kitu kinaitwa deja Vu, unafika mahali hujawahi kufika hata mara moja, unapata some vivid memories kuwa uliisha fika, unakumbuka upenda ule kuna mti mkubwa wa mbuyu, ukigeuka unauona mbuyu. Mbele kuna mto, unafika mbele unauona Mto.

P
 
Huku ni kupeana moyo tu sababu hamna aliyekufa kisha akatoa ushuhuda wa life after death.
Ni assumptions tu.
Tunaishi kwa imani. Hakuna akiyekwenda mbinguni halafu akarejea kutuhadithia.

Proof ya life after death, life after life na life before life, ipo kwenye kitu kinaitwa deja Vu, unafika mahali hujawahi kufika hata mara moja, unapata some vivid memories kuwa uliisha fika, unakumbuka upenda ule kuna mti mkubwa wa mbuyu, ukigeuka unauona mbuyu. Mbele kuna mto, unafika mbele unauona Mto.

P
 
Kunapotokea msiba ni kukumbushana tuu kilicho kufa ni mwili tuu, lakini roho haifi ipo na itaishi milele, hivyo watu msilie saana hadi kukufuru, let's celebrate the lives za Wapendwa wetu.
P

Hii kauli mbiu ya kusema "Tusherehekee maisha ya wapendwa wetu". Sijaielewa kabisa.
 
Hii kauli mbiu ya kusema "Tusherehekee maisha ya wapendwa wetu". Sijaielewa kabisa.
Kila binaadamu anapozaliwa, anakuja kwa ajili maalum. Hivyo ukifika muda wako wa kifo huku umetimiza malengo ya kuishi kwako, badala ya kuliliwa kuwa umekufa, we celebrate your life.
P
 
Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake anasema;

Mwana wa Adam anapokufa anaondoka na vitu vitatu(3). Viwili vinarudi na kimoja kinabaki kwa aliyekufa. Viwili vinavyorudi ni Mali na familia. Familia itakusindikiza mpaka kwenye kaburi lako, watashiriki shughuli zote za maziko lakini hakuna atakayezikwa na wewe. Mali ambayo uliyokuwa unaitafuta usiku na mchana mihangaiko mingi mpaka unaingia kaburini nayo hutozikwa nayo. Kiasi kingi kitabaki cha warithi wako.

Kitakachoingia na wewe kaburini mwako ni matendo yako ndiyo yatakayotoa muongozo utakuwa wa namna gani. Kama ni mazuri(mema) utakuwa kwenye heri, kama ni maovu utakuwa kwenye shari. Kwani Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake anasema;

Kaburi imma ni miongoni mwa mabustani ya peponi au miongoni mwa mashimo ya motoni.
 
soul au spirit?
Maana Mungu alipuliza Pumzi (spirit/wind/life force) mtu akawa LIVING SOUL ( Mtu hai ukitoa kimoja ( mavumbi au spirit, hakuna mtu hai).

Force of life. Is force of life a living entity, ambayo bila mwili inaweza kunusa, kulia, kufurahi, kusikia kuongea, kujuta, na kupaniki au kusikia maumivu? kama nfio inatumia nini kufanya hivyo? iliumbwa lini? maana mtu (living soul kaelezwa).

Wahubiri
ni kweli wanaweza kutumia their internal energies. Lkn maandiko wanayotumia hayafundishi hayo. Yanasema "you shall receive power, when that holy spirit fall upon you''. hii ni external power out of humanity. hizo nguvu za uungu unazosema sio Carnal Power lkn ni kwa sababu ya uwepo wa Roho mtakatifu.

nje ya hapo lbda hiyo miujiza iwe powered na Kundalin Spirit, Hypnosis, au zile za mababu zetu mabushmen ambao nao hufanya miujiza kwa kutumia internal powers. ambazo ukizitrace utagundua ni demonic powers.

Mkuu pia huoni kusem hiyo intelligent entity inayoishi milele kiasi cha kututaka tusiuzunike inapingana na maneno ya Yesu '' nilikuja ili muwe na uzima tena muwe nao tele''. Maana yake kabla ya hapo hakukuwa na uzima tele. Na Immortality ni product ya kumuamini Yesu, ili akija kutufufua atubadilishe tukidhi viwango vya kuwa na uzima tele (Immortality).

.
 
Kila binaadamu anapozaliwa, anakuja kwa ajili maalum. Hivyo ukifika muda wako wa kifo huku umetimiza malengo ya kuishi kwako, badala ya kuliliwa kuwa umekufa, we celebrate your life.
P
Ingekuwa sababu za uwepo wa mwanadamu zinafahamika kweli huo umaalum unaozungumzia ungepatikana

Watu tunaishi Kama nyanya za nyongeza wewe unatufariji tuna umuhimu....! Nadhani ni kujiridhisha tusijione watupu

Mimi nadhani Wengine hawakufaa kuwepo na hawana umuhimu_unaonaje ndugu...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri hivyo unavyoishi wewe ndio ulipaswa kuishi hivyo au unapaswa uishi hivyo ?

Lengo la kuumbwa mwanadamj liko wazi. Usie lijua ni wewe na wale wa mfano wako. Hivi kwa akili ya kawaida ni kweli tuwepo duniani bila lengo maalumu ?

Nipo ...
 
Mimi nadhani Wengine hawakufaa kuwepo na hawana umuhimu_unaonaje ndugu...?

Hapa ndio linaonekana wazi tatizo linalokusibu wewe. Kuna mambo yakidhania ila suala la maumbile hutakiwi kuwa na dhana kwalo,kwani umbile limekutangulia wewe..

Hapa unatakiwa uandike Elimu wapa si dhana,kwani mara nyingi dhana hujengwa na ujinga na wasi wasi tele.
 
Unafikiri hivyo unavyoishi wewe ndio ulipaswa kuishi hivyo au unapaswa uishi hivyo ?

Lengo la kuumbwa mwanadamj liko wazi. Usie lijua ni wewe na wale wa mfano wako. Hivi kwa akili ya kawaida ni kweli tuwepo duniani bila lengo maalumu ?

Nipo ...

Naomba unifahamishe mimi na wenzangu lengo la binadamu kuwepo ulimwenguni ni nn ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu Mancho, kila binaadamu ana kusudi lake, hata muuza nyanya, muuza genge, mmachinga, hata house girl, hata wale dada zetu, madada poa, they all have some proposes to save.
Wale ambao hawakufaa kuwepo, conception haikubali na ikikubali, miscarriage hutokea or still born. Akiisha zaliwa, na akavuta pumzi hata kwa siku moja, it saves the purpose

P.
 
Mkuu Mancho, kila binaadamu ana kusudi lake, hata muuza nyanya, muuza genge, mmachinga, hata house girl, hata wale dada zetu, madada poa, they all have some proposes to save.

P.

Twende polepole mkuu
Kwa io kila binadamu kaumbwa kwa kusudi lake?? Na sio kwamba wote tumeumbwa kwa kusudi moja??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…