Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!

AMEN BROTHER AMEN
 
MY MAMA IS MY SOUL MATE AND AMSTILL HERE PASCAL πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†
CC: 50thebe
Mama yako hawezi kuwa soul mate wako. Soul mates ni bonding of souls between positive and negative.

Kilichopo kati yako na mama yako ni the greatest love of all ambayo mme bond due to fiduciary relationship iliyotokana na mama kukosa twin soul mapenzi akayahamishia kwako, na wewe you were once bitten in love, once bitten, twice shy, ukayahamishia mapenzi kwa mama mka bond lakini sio soul mates ndio maana mama anakuja kuongea tuu na wewe lakini hakuiti.

Soul mates ni bonding of love and sex from physical love, emotional love and spiritual love, mmoja akitangulia, mwingine anamfuata kuendeleza the togetherness.

Blood relatives wanaoweza kuitana ni the identical twins, mmoja akitangulia, anamuita mwenzake.

P.
 
oh kumbe thta's how you meant!
oh well! then nimekuelewa!
asante
 
Kuna ndoto nyingine zinakuwa ni ujumbe unakuja kwa njia ya ndoto, sema kwa vile tunakuwa hatuna elimu ya ndoto tunaona ni ndoto kama nyingine, ila ni mawasiliano baina ya ulimwengu wa kiroho na ulimwengu wa kimwili.
 
Hahaa
 
So marehemuz uliowataja walibondije kwenye sex sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo nanihii wa clouds na mdogowake
Tukienda hivyo ulichoandika utanichanganya au hai apply Kwa wanaume?!
 
Mkuu Pascal Mayalla kwenye hiyo nyumba ya Ef kulikuwa na nini mpaka jamaa akahamΓ  na kuacha kila kitu????
Nakuomba utoe mwangaza kidogo...
Nyumba nyingi ambazo baba au mama amekufa, zinakuwa na haunted houses, ili kuondoa haunting, unabadili fenicha zote za marehemu hadi kitanda, gawa nguo na vitu vyake, au hama nyumba pangisha.

Wewe ndio wa mwisho kulala, ulikuwa unaangalia tamthilia za Telemundo, ukachoka, ukazima TV, ukazima taa, ukaenda kulala, mara ukashituka usiku, uchelewi kusikia kama mtu anatembea sebuleni usiku, huku unasikia sauti ya TV, ukitoka room, unakuta kweli sebuleni taa inawaka na TV imewaka, unakwenda kuzima, kuangalia ... la haula, unataka kuzimia kwa mshtuko, unamuona amekaa kwenye favourite seat yake ana watch TV, ukishtuka, anapotea, ila TV inabaki inawaka na wewe uliizima na taa za sebuleni, ulizima. Unajiuliza hupati jibu, unarudi room unamuona amelala sehemu yake....
Utahama...!.

Mambo ya ghosts, yapo ila sehumu kubwa ni dhana tuu za the state of mind yako inakuwa kwenye the highest stages of mind suggestibility. Hata vitu vinavyoitwa apparitions, ni works of mind kwenye the spiritual world.
P.
 
So marehemuz uliowataja walibondije kwenye sex sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo nanihii wa clouds na mdogowake
Tukienda hivyo ulichoandika utanichanganya au hai apply Kwa wanaume?!
Monye Penny, soul mate ni yule uliyeandikiwa, kama ni soul mate hata kama mliachana, akikuita, ukaitika, unamfuata.
Kibonde aliitwa na soul mate wake ambaye ni mkewe na sio Ruge, ila kama Ruge nae kaacha soul mate, anaweza kumuita akamjoin!.
Kwa wanawake soul mate ni mwanaume mmoja tuu, lakini kwa wanaume wanaweza kuwa na soul mate zaidi ya mmoja.
P.
 
Paschal, hapo hutapata majibu - aliyeumbwa, akaishi, akafa kisha akafufuka ndiye awezaye kuthibitisha - sisi binadamu tunabaki na uelewa wa upande mmoja au mbili (kuzaliwa na kufa) vingine vinavyofuata hapo ni dhanifu (idealism)
 


Hmmmh hmmm kuna wakati unasikia mtu anafagia chumba cha pili ila kupo giza na ukienda hukuti mtu...

Vipi kama wewe ni jasiri na ukaenda sebuleni ukamkuta anaangalia tv na usishtuke wala kuogopa alafu unamwambia kamwene,ugonile,kumbe ndio wewe umewasha nikajua imejiwasha....

Inawezekana kweli hawa ghost huwa wanakuja na sababu kubwa ni nini hadi waje,je hawana madhara?

Au ni dhana tu kama ulivyosema
 
Kwahiyo mnajipendelea wanaume sio?
Hii inadhihirisha jinsi gani wanaume hamnaga Mapenzi ya kweli
 
Kwahiyo mnajipendelea wanaume sio?
Hii inadhihirisha jinsi gani wanaume hamnaga Mapenzi ya kweli
Mkuu Money Penny, sio kuwa tunajipendelea bali huo ndio ulikuwa mpango wa Mungu katika uumbaji, mtu aliyepangwa kuumbwa ni mwanaume, ila baada ya kumuona ni mpweke, ndipo akamuumbia msaidizi, kutoka kwenye ubavu wake. Hivyo mwanamke ameumbwa ili tuu awe msaidizi wa mwanaume, to give him company haswa kwa zile comfort.

Kwa vile kuna kipindi mwanamke anakuwa hawezi, sio vema kwa mwanaume kukosa hizo huduma, hivyo mwanaume ana haki ya kuzipata kwa mwingine. Tena zamani ilikuwa ni mwanamke ndie anamtafutia mumewe wasaidizi na wote mtapendwa mapenzi ya kweli.

Enzi hizo, siku mume akifa, alikuwa anazikwa pamoja na yule mke aliyempenda sana, hivyo wanawake wa zamani walikuwa na akili sana, akiishaona mzee ameanza kuzeeka, anamtafutia kabinti kabichi dogodogo kumtia joto, siku ya siku, Mzee akichomoka, anazikwa na kabinti kuendelea kumhudumia huko.

India wanachoma kwa heap ya kuni, halafu wakati moto umepamba moto, mke kipenzi kutakiwa kukimbia mbio na kujirusha motoni kwenda kumkumbatia, hivyo she is burned alive, hii inaitwa Sati, ni ushajaa mkubwa sana. Mwanamke anayekufa kwa Sati, dhambi zake zote zinafutika instant na kufuta thambi back mumewe na wote wanakwenda peponi straight kwenye after life na kuendelea na mapenzi yao kwenye reicarnation

P
 

Hiyo 'Sati' inawahusu wanaume pia..? Kwamba ikitokea 'mke kipenzi' katangulia, mume ajirushe kwa moto..!!
 
Hiyo 'Sati' inawahusu wanaume pia..? Kwamba ikitokea 'mke kipenzi' katangulia, mume ajirushe kwa moto..!!
I'm not sure kama Sati inawahusu wanaume, Sati zote nilizosoma ziliwahusu Wanawakee tuu.
P
 
Ahahahahahhahhhah, nimecheka sana. Mkuu P, ndo unavyoamin na ww au vip
 
sihitaji kuwa kipenzi cha mhindi looooo!
 
Wanabodi, wakati tukiwa kwenye maombolezo ya kitaifa ya kumlilia mpendwa JPM, sio vibaya tukakumbushana, tusilie sana na kuomboleza hadi kupitiliza ikawa kufuru, tulie kwa kiasi, tuomboleze kwa kiasi, tusikufuru.

RIP JPM
P
 
Sasa kwa sie wenye ma soul mate zaidi ya 100+, inakuaje hapo mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…