Nyumba nyingi ambazo baba au mama amekufa, zinakuwa na haunted houses, ili kuondoa haunting, unabadili fenicha zote za marehemu hadi kitanda, gawa nguo na vitu vyake, au hama nyumba pangisha.
Wewe ndio wa mwisho kulala, ulikuwa unaangalia tamthilia za Telemundo, ukachoka, ukazima TV, ukazima taa, ukaenda kulala, mara ukashituka usiku, uchelewi kusikia kama mtu anatembea sebuleni usiku, huku unasikia sauti ya TV, ukitoka room, unakuta kweli sebuleni taa inawaka na TV imewaka, unakwenda kuzima, kuangalia ... la haula, unataka kuzimia kwa mshtuko, unamuona amekaa kwenye favourite seat yake ana watch TV, ukishtuka, anapotea, ila TV inabaki inawaka na wewe uliizima na taa za sebuleni, ulizima. Unajiuliza hupati jibu, unarudi room unamuona amelala sehemu yake....
Utahama...!.
Mambo ya ghosts, yapo ila sehumu kubwa ni dhana tuu za the state of mind yako inakuwa kwenye the highest stages of mind suggestibility. Hata vitu vinavyoitwa apparitions, ni works of mind kwenye the spiritual world.
P.