Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!

Maandishi murua sana haya Muhimu watu wayasome na kuyatafakari.
Wengi hawawezi kukuelewa kirahisi coz ulichokiandika hakifit uwezo wao wa kufikiri. Maandishi haya ni beyond their thinking capacity ila bahati nzuri mimi na wengine wachache walio makini tumekuelewa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app

Samahani kama nitakuwa nimekukosea.Unasema umeelewa hili andiko lake lililojaa mikanganyiko mingi najuwa hilo lipo ndani ya ufahamu wako lakini naomba unisaidie hili je utafahamu vipi kuwa fulani ndiye soul mate wako?unaweza kumtambua kwa kutumia vipimo vipi.
Hili suala limekaa sana kinadharia kuliko uhalisia wa jambo lenyewe,je vipi kuhusu vitabu vya dini vinasemaje kuhusu vifo vya aina hii

iPhone 7plus
 
kuna mahala nilisoma ,panasema kwamba" the ones in real marriage die bondly" sikupaelewa...lakini kuna mstari kwa chini yake ulikuwa unasema kuwa "Dini zipo kufasten our destination" ...sikupaelewa napo...

lakini nikashuka chini nikaona maandishi yanasisitiza Kwamba ndoa yoyote ambayo imebarikiwa kanisani basi huwa ina ticket moja kwa moja ya kuziruhusu roho mbili zilizoamua kuoana kuishi maisha na kuwa na destination moja...

coincidence...???

Sijajua exactly mechanism gani inafanyika kuhalalisha hali hiyo..

Ni kweli kabisa ulisemalo mkuu kuwa wanandoa wawili huwa na life destination moja hata kama watazidiana basi haziwezi pita miaka 5 lazima na mwingine afuate..

Lakini kwanini hali hii ni kwa wanandoa tu( yani wale waliofunga ndoa kanisani katika umati wa watu..)??sio kwamba ni wanandoa tu ila asilimia kubwa ni kwa waliofunga ndoa kanisani...

Je! ndoa huturahisishia hatima ya maisha yeti au ??

kuna fumbo hapa...

Je manake tuishi bila kuhalalishwa makanisani na misikitini ili kuepuka kuwa na life path number iliyo sawa kwa wanandoa.....??

Lakini kwenye makala moja ya "Life of the twin" nilisoma juu ya kwanini pacha mmoja akifa ( poteza uhai) na mwingine huwa hachelewi ,anasepa pia...
(very obvious kwa wengi japo wengine wanabaki na wanaishi maisha marefu)

waligusia mambo ya spiritual essence bond ambayo ni nguvu katika kibaolojia ( Genetic trencher) ambayo inazungumzia kuwa watu waliotoka kwenye damu moja huwa na kizazi chenye roho zilizoungana...

Mapacha ni kizazi chenye Roho mbili zilizoungana kigenetic zaidi japo nguvu hiyo haiwezi onekana kwa macho ,its like electromagnetic bond ,hivyo basi kama mmoja akisepa basi ile co joining bond inakuwa weak hence genetic trencher inatokea na kufanya roho hizokuachana na miili yao kisha kufuatana pamoja......

Roho moja haiwezi stahimili mazingira ya kuwa lonely...

Nikamsoma mtaalumu wa mambo ya akili na ubongo katika ngazi ya saikolojia ( Neuralpsychologist) anasisitiza namna ya kuwalea mapacha katika mazingira ya uangalifu zaidi...

Nilimsoma sana yule jamaaa baada ya ile dawa ya kuwezesha mapacha kupatikana kwa mtu ambaye anahitaji mapacha kwa familia ambazo hazina genetic inheritance pattern ya mapacha baada ya ugunduzi wa dawa ya "clomifen" ambayo inasababisha mtu kupata mapacha kadri anavyotaka yeye...je alisema nini juu ya umuhimu na side effects za kuwa na mapacha...??

Jamaa alieelezea kwa kutilia msisitizo kuwa, kweli dawa imepatikana lakini watu wasifurahie kupata mapacha ila kuwatunza ni kazi kubwa sana ,kwani endapo ukimkosa mmoja tu basi wa pili nae kumkosa ni kugusa tu..

Kwa hiyo jamaa alikuwa anatoa angalizo kuwa wale wenye mapacha wawe wanavisit mafunzo ya kisaikolojia namna ya kuhandle twins la sivyo tunawapoteza katika mazingira ya kawaida sana kwani wanahitahi special care ...

Any way .. .we are bonded each other spiritually and genetic bases save as a catalyst..
 
Humu JF kuna nyuzi kibao kuwa jsmaa alikuwa victim yeye na mkewe sasa sijui ni kweli au
 
Mama maria nyerere mwaka wa 20 huu.bibi yangu mwaka wa 50 bila babu.hapo hakuna cha roho kuitana ila mawazo na upweke ndio vinakuua
 
Mambo yangekuwa hivi ningeshabaki yatima siku nyingi sana
Hakuna kitu kama hicho

Halafu mtu akishakufa amekufa. Bible inasema walio hai wanajua watakufa lakini wafu hawajui chochote!
 
Pascal hapo ulipoanza kusema roho ni mungu umenifanya niache kusoma uzi wote..
Mkuu Rajab Kisauti, uko very right kuacha kusoma kitu ambacho kiko kinyume cha imani yako, lakini akina sisi ambao ni watafuta habari, mfano mimi ni Mkristu Mkatoliki, kwa imani yetu Yesu ni Mungu, akitokea mtu akaandika Yesu sii Mungu, sitakimbia bali ndio kwanza nitasoma kwa makini zaidi kuona hoja zake.

Kwenye hii hoja ya Roho ni Mungu kufuatia kuwa na Uungu ndani yake na yeke.

Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja, Ibrahim, hivyo Mungu tunayemwamini ni Mungu mmoja na sheria zetu sote ni sheria moja ya Musa iliyoshushwa kwenye Torati.

Sote tunaamini tumeumbwa na Mungu kwa kufinyangwa kwa udongo na kupuliziwa pumzi ya uhai inaitwa Roho.

Kifo ni kitendo cha Roho yenye uhai kuacha mwili. Roho haifi ina uzima wa milele, be it ni mbinguni, peponi, akhera, motoni au jehanum.

Ile pumzi ya uhai, utashi na conscious, ndicho kitu chenye nguvu kuliko kitu chochote duniani kutokana na Uungu ndani yake.
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, Wewe Unazo? - JamiiForums

"Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza Ya Uponyaji kwa Imani!. -Kila Mtu Anazo! - JamiiForums

P.
 
Vitu vya kufikirika, hakuna aliye na proof, kila mtu anaongea lake tu. Mtu akifa amekufa, anakua decomposed basi, millions of years baadaye tunamtumia kama mafuta.
Mkuu Graph, hoja yako ni kweli, sisi ni mavumbi na tutarejea kuwa mavumbi, ila uhai sio mavumbi, Roho sio mavumbi, haifi na inaishi milele.
Kwenye hoja ya vitu vya kufikirika, hata mbinguni na motoni ni vitu vya kufikirika pia, lakini God is real.
P
 
Mkuu pascal umeandika kitu kizoto sana japo kimejaa mikanganyiko mingi sana.Unasema mtu akifa mwili hubaki duniani(physical world) na roho huenda kuishi katika spiritual world ambako huko haifi milele.
Unataka kusema wale wote waliokufa na watakaokufa badae wote wataishi huko vipi kuhusu hizo roho zinaweza kuishi bila miili.
iPhone 7plus
Mwili una sehemu mbili physical body and spiritual body, physical body ndio huu mwili wa nyama umeumbwa kwa udongo na kupuliziwa pumzi ya uhai ndio tukawa hai, mwili huu wa nyama ndio hufa na kugeuka mavumbi na kuna mwili wa roho ambao haufi, huu ndio unaishi milele kwenye ulimwengu wa roho.
P
 
Mkuu Graph, hoja yako ni kweli, sisi ni mavumbi na tutarejea kuwa mavumbi, ila uhai sio mavumbi, Roho sio mavumbi, haifi na inaishi milele.
Kwenye hoja ya vitu vya kufikirika, hata mbinguni na motoni ni vitu vya kufikirika pia, lakini God is real.
P
Tatizo ni kwamba hawa watu hawawezi kucomprehend your level of understand ndio reason hawakuelewi but in real sense huko very right and almost accurate when explaining this spiritual realm phenomena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Graph, hoja yako ni kweli, sisi ni mavumbi na tutarejea kuwa mavumbi, ila uhai sio mavumbi, Roho sio mavumbi, haifi na inaishi milele.
Kwenye hoja ya vitu vya kufikirika, hata mbinguni na motoni ni vitu vya kufikirika pia, lakini God is real.
P
Mambo ya kufikirika tu.lakini mwandishi umetumia nguvu nyingi Sana.pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan ni kweli maana hata kwa wachaga wakizaliwa mapacha na ikitokea mmoja wao kafa basi mwingine harusiwi kumzika mwingine. Hii niliiona moshi(marangu) pacha pater alivyofariki basi Paul hakurusiwa kumzika pacha mwenzake...

Ila kingine Dingi, umejuaje habari za ulimwengu wa spiritual umewahi kuishi kipande hiko DINGILAI au ndo umetuniaje hapo BABLAI. sijaKUDERE kabisa DiNGIIIiii. Au ndo HAIKATOXX yan unajua CHOX, DWASI, FWASI, WANCHI, NDICHI zotee mpaka na Kwa Sir GOD unapa DERE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom