kuna mahala nilisoma ,panasema kwamba" the ones in real marriage die bondly" sikupaelewa...lakini kuna mstari kwa chini yake ulikuwa unasema kuwa "Dini zipo kufasten our destination" ...sikupaelewa napo...
lakini nikashuka chini nikaona maandishi yanasisitiza Kwamba ndoa yoyote ambayo imebarikiwa kanisani basi huwa ina ticket moja kwa moja ya kuziruhusu roho mbili zilizoamua kuoana kuishi maisha na kuwa na destination moja...
coincidence...???
Sijajua exactly mechanism gani inafanyika kuhalalisha hali hiyo..
Ni kweli kabisa ulisemalo mkuu kuwa wanandoa wawili huwa na life destination moja hata kama watazidiana basi haziwezi pita miaka 5 lazima na mwingine afuate..
Lakini kwanini hali hii ni kwa wanandoa tu( yani wale waliofunga ndoa kanisani katika umati wa watu..)??sio kwamba ni wanandoa tu ila asilimia kubwa ni kwa waliofunga ndoa kanisani...
Je! ndoa huturahisishia hatima ya maisha yeti au ??
kuna fumbo hapa...
Je manake tuishi bila kuhalalishwa makanisani na misikitini ili kuepuka kuwa na life path number iliyo sawa kwa wanandoa.....??
Lakini kwenye makala moja ya "Life of the twin" nilisoma juu ya kwanini pacha mmoja akifa ( poteza uhai) na mwingine huwa hachelewi ,anasepa pia...
(very obvious kwa wengi japo wengine wanabaki na wanaishi maisha marefu)
waligusia mambo ya spiritual essence bond ambayo ni nguvu katika kibaolojia ( Genetic trencher) ambayo inazungumzia kuwa watu waliotoka kwenye damu moja huwa na kizazi chenye roho zilizoungana...
Mapacha ni kizazi chenye Roho mbili zilizoungana kigenetic zaidi japo nguvu hiyo haiwezi onekana kwa macho ,its like electromagnetic bond ,hivyo basi kama mmoja akisepa basi ile co joining bond inakuwa weak hence genetic trencher inatokea na kufanya roho hizokuachana na miili yao kisha kufuatana pamoja......
Roho moja haiwezi stahimili mazingira ya kuwa lonely...
Nikamsoma mtaalumu wa mambo ya akili na ubongo katika ngazi ya saikolojia ( Neuralpsychologist) anasisitiza namna ya kuwalea mapacha katika mazingira ya uangalifu zaidi...
Nilimsoma sana yule jamaaa baada ya ile dawa ya kuwezesha mapacha kupatikana kwa mtu ambaye anahitaji mapacha kwa familia ambazo hazina genetic inheritance pattern ya mapacha baada ya ugunduzi wa dawa ya "clomifen" ambayo inasababisha mtu kupata mapacha kadri anavyotaka yeye...je alisema nini juu ya umuhimu na side effects za kuwa na mapacha...??
Jamaa alieelezea kwa kutilia msisitizo kuwa, kweli dawa imepatikana lakini watu wasifurahie kupata mapacha ila kuwatunza ni kazi kubwa sana ,kwani endapo ukimkosa mmoja tu basi wa pili nae kumkosa ni kugusa tu..
Kwa hiyo jamaa alikuwa anatoa angalizo kuwa wale wenye mapacha wawe wanavisit mafunzo ya kisaikolojia namna ya kuhandle twins la sivyo tunawapoteza katika mazingira ya kawaida sana kwani wanahitahi special care ...
Any way .. .we are bonded each other spiritually and genetic bases save as a catalyst..