Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

Tukishughulika na wahalifu wa awamu ya tano, kamwe Mwendazake hawezi kuachwa, ni mhusika mkuu wa yote yaliyotokea kwana aliyabariki na kuzuia uchunguzi usifanywe. Kilichogunduliwa hadi sasa ni tip of an iceberg, bado sana tu na mengi yatawashangaza watu. Mwendazake hajaenda popote, yupo tu hapo ghamboshi anateseka kama misukule wengine, dunia hii ni ya ajabu sana!
 
Kama Kuna mtu Alie wahi kufa nakuona kweli kwamba aliekufa anaweza kuona yanayoendelea huku duniani anyooshe kidole.

Kam wanaweza kuona yanayoendelea hawashindwi kufanya chochote!

Kuna watu wanauliwa, watoto wao wanadhulimilumiwa na kufukuzwa nankuishi maisha ya mateso yasiokua na namna ya kuelezea, Kama kweli wazazi wao waliokufa wanaweza kuona kweli washindwe kuwatetea watoto wao?

Mungu amjalie uzima usio na mwisho panapo wakati ndugu magufuli, lakini hakika waliofanya wasaidizi wake kwa ngazi ya uongozi Ni makubwa kuliko wanayoyapitia.
 
Nimekudharau!
Hapo kwa kosa lipi, Bashiru Kwa kosa lipi kikatiba, Polepole naye,

Huu ushabiki wa kipumbavu mnaoufanya hapa, hauna maana zaidi ya chuki zenu
Chuki zenu wakina nani?.maana ata wewe inaonekana una chuki na baadhi ya watu ndo maana omeqoute mawazo ya mtu mmoja kwenye wingi.
 
"Eti Tanzania yake".brother hebu pumzika sasa.maana kama huu ugoro ulio andika hapa ndo unasema ni kwa maslahi ya taifa inaonyesha ni jinsi gani umechoka na kuchokwa sasa uko mbele unaweza kuja kuandika ujinga zaidi.
 
Wewe ni MNAFIKI uliye KUBUHU.
 
Paskali leo umeleta mada dhaifu sana. Kwanza hayo mambo ya life after death ni dhana za kufikirika ambazo kwa msomi kama wewe ilitakiwa uwe unajua ni mambo yasiyoweza kuthibitishwa ambayo yanatakiwa kuaminiwa na laymen only.
Pascal Mayalla hajawahi kuleta hoja yenye mashiko! Na aliharibu zaidi kujitokeza hadharani na kugombea Ubunge kwa tiketi ya CCM (kura za maoni) na baadae kuendelea kujifanya yuko NEUTRAL
 
Tanzania Yake?
 
"Eti Tanzania yake".brother hebu pumzika sasa.maana kama huu ugoro ulio andika hapa ndo unasema ni kwa maslahi ya taifa inaonyesha ni jinsi gani umechoka na kuchokwa sasa uko mbele unaweza kuja kuandika ujinga zaidi.
Utadhani jamaa halina ubongo 😊😊
 
kinacho nishangaza ni jinsi gani watanzania tusivyo penda kuheshimu utawala wa sheria.
Sabaya ni mtuhumiwa tu lkn tayari amesha tiwa hatiani na jamii na tayari amesha fungwa miaka kibao kabla hata Mahakama haijaanza kumsikiliza !!!
jamani tuache mihemko na jazba.
kati yetu na Mahakama nani mwenye jukumu la kutoa haki? bilashaka ni Mahakama, basi tuache ifanye kazi yake.
kama kuna ushahidi atafungwa kama hakuna ataachiwa na ataendelea na maisha yake kama kawaida.
ila sio vizuri kumdhalalisha, tuheshimu utunwake hata kama ni mtuhumiwa, tusimdhalilishe utu wake kwa mihemuko na presha za mitandao.
ni ukweli usio pingika kuwa tuhuma hizi sio tu zimemdhalilisha yeye mwenyewe bali pia zimewadhalilisha wale wote walio shika nafasi za UDC,lkn pia zimewanyong'onyesha sana haswa pale walipoona mwenzako kafungwa pingu na kukalishwa kichura.
 
Yaan Pascal kazeeka vibaya sanaa.
Magufuli ana Credibility gani kwa watanzania hata akaomba jambo kwa Mungu huko aliko Jehanamu kwa sasa akasikilizwa?

Magufuli angekuwa hai alitakiwa aunganishwe Katika hiyo kesi ya Ubakaji, Mauaji, utekaji na wizi wa siraha na kutakatisha pesa haramu ana bahati Mungu kaamua kumkata maana Mungu anasema siku za watendao uovu anazifupisha.
 
It is your right to believe in such old and long living utopia. It is some sort of deception to the frustrated individuals after missing a precious opportunity. "Pole Paskali".
 
Je, wajua kuwa Magufuli, japo kimwili hatuko naye, lakini kiroho huko alipo, bado yuko hai,
Twajua ila hauna udhibitisho juu ya haya madai, hivyo basi wewe ni muuongo kwa ufupi
Naomba kujitanabaisha kuwa mimi ni mtetezi huru wa haki za binaadamu, na kwenye gazeti la Nipashe la kila Jumapili ninaandika makala za utetezi wa haki za binaadamu
Hizi harakati zimeanza baada ya kifo cha mzee au vipi?

Vipi kuhusu wale waliopotea kipindi mzee yupo uliwahi kuandika makala kuhusu hiyo hali?
 
Hayo ya kufa na kusikia usiwalishe matango pori Waislam. Faidika na darsa dogo la FaizaFoxy...

Kama amekufa na hajauonja (hajuingia) umauti ndio itakuwaa hivyo usemavyo. Lakini kama kama ni mauti yaliomkuta basi saa hizi yupo kwenye "axis" nyingine kaboisa na baina ya axis hiyo na hii ya uhai kuna "barzak" (barrier) ambayo haivukiki kwa waliohai kwenda kwenye umauti na walio kwenye umauti kurudi kwenye uhai ila kwa kupenda mwenyewe Allah, muumba wa vyote.

Kufa bila kuuonja umauti ni kama vile upo usingizini kwenye "twilight zone" na umauti nakuwa Barzak ni kama vile upo kwenye "deep state of induced sleep". Huna unachokisikia au kukihisi.

Ushahidi soma Qur'an Surat Kahf (The Caave) ambapo ndipo Waingerezza wakajipatia neno "Cave"...

<iframe width="560" height="315" src="YouTube" title="YouTube video player" frameborder="0" allow="accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture" allowfullscreen></iframe>
 
Kwani aliowaua Magufuli na Makonda siyo binadamu? Acha double standards....Nchi hii ilichafuliwa na mshamba asiyejua jinsi ya kuongoza, ni mtu wa ajabu sana,. Machinga wanaua watu ovyo wakitumia pikipiki na ndiyo majambazi wakubwa, haiwezekani nchi na miji ijae vibanda visivyo na mipangilio, ni aibu sana. TUNATAKA haki sasa, tunataka Makonda ahojiwe kwa utekaji, ubakaji na mauaji na afungwe kabisa kama siyo kunyongwa. Hao akina Musiba, wana kesi nyingi za kujibu.
Nchi inatakiwa iongozwe kwa sheria, hii nchi ilishakuwa kama shamba la wezi na nchi ya wachuuzi, hao unaowatetea ni wezi na wauaji.
Sabaya anatakiwa apigwe miaka 30 kama siyo kunyongwa hadi kufa....Kwani aliyoyafanya Paschal hujuiS? Na tunataka aliyempiga risasi Lissu naye apelekwe mahakamani, waliomteka Roma Mkatoliki, na aliyemtishia Nape Nnauye akamatwe na afikishwe mbele ya sheria.
Magufuli ameharibu nchi hii ndiyo maana wametokeza watu wengi kama wewe Paskali mnaotetea maovu, sijui kwa vile ni msukuma mwenzio?
 
Kama mtu ameua kwa makusudi naye auawe, Wale watu waliohusika na kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda na member mmoja wa hapa JF. Wakamatwe na kuhukumiwa. Makonda anatakiwa akamatwe kwa kosa la uvamizi wa Clouds na utekaji wa akina Roma na wengine tuliosikia wamepotea. TUNATAKA HAKI. Wale waliopotea tuambiwe wapo wapi.
 
Acheni uongo bwana, hakuna anachoona mtu aliyekufa na ukishakufa hauna tena connection na hii dunia. Magufuli aliwafundisha ubabe na roho mbaya ngoja waipate tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…