Acha kumchafulia jina Dada Upendo...sio poa.Kwa heshima yako mama D, huyu dada aliuza Jimbo in a day light nimemaliza. SASA hivi anapambana kuhonga mbunye arudi bungeni, tumeshawatahadharisha KK, na ushahidi upo wa live na wa kimazingira!
Acha kumchafulia jina Dada Upendo...sio poa.
Kumchafua Mwanamke mstaarabu anayejiheshimu na kuheshimiwa kwa tuhuma hizo, it's not fair, utajichumia dhambi bure kwa kudhania, unless wewe ndio ulikuwa ukimshikia mguu...!.Kwa heshima yako mama D, huyu dada aliuza Jimbo in a day light nimemaliza. SASA hivi anapambana kuhonga mbunye arudi bungeni, tumeshawatahadharisha KK, na ushahidi upo wa live na wa kimazingira!
Don't believe everything people says kuhusu hawa beautiful girls wenye beauty with porpoises. Wengine ni wivu tuu, walitamani wawe wao, au walimtaka akakataa sasa wananchafua!.Dah.... hatari sana! Kama ni kweli nitaamini roho sio sura, huyu hafanani kabisa na hilo alilofanya
Huko anakoenda kutakua kubaya zaidi kwake
Nimekusoma kaka PπDon't believe everything people says kuhusu hawa beautiful girls wenye beauty with porpoises. Wengine ni wivu tuu, walitamani wawe wao, au walimtaka akakataa sasa wananchafua!.
Watu wengine ni wasafi sio machoni tuu, bali mpaka moyoni, hata uwachafue vipi, hawachafuliki, hata uwapake matope, utawapaka usoni tuu, moyoni huwezi kupafikia na ndipo usafi halisi ulipolalia!.
P
NonsenseKumchafua Mwanamke mstaarabu anayejiheshimu na kuheshimiwa kwa tuhuma hizo, it's not fair, utajichumia dhambi bure kwa kudhania, unless wewe ndio ulikuwa ukimshikia mguu...!.
Please!.
P
Wivu, gere na vivu wa umasikini wa roho ni tatizo kubwa sana Tanzania.Nonsense
Mbona alizimia alivyokosa ubunge hadi akalazwa kama aliuza jimbo sidhani kama angezimia...
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hiliView attachment 306576
Wanabodi,
Nilikuwa naangalia bunge kuapishwa kwa waheshimiwa wabunge wapya.
Ilipofika zamu ya Mhe. Upendo Furaha Peneza akiapa, nikamkumbuka Regia Mtema (RIP).
Kwa waumini wa 'life after life' na mambo ya 'reincarnation' mtanielewa!.
Kwa wafuatiliaji wa tanthiliya ya "Part of Me" kwenye Telemundo, tumemshuhudia Tajiri Monica Sorano, kabla ya kukutwa na umauti, alimtafuta mdada masikini Adrriana na bond naye!. Monica alipofariki, Adriana akaibuka na kukamilisha yale yote Monica aliyoyataka!.
Huyu mbunge Mhe. Upendo Furaha Peneza, alikuwa ni mshiriki tuu wa shindano la Maisha Plus. Ikatokea Regia akamuona akaja humu jf kumtafuta kwa bandiko hili
Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus -
[QUOTERegia Mtema]Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.
Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.
Asanete sana.
Mkuu sweya lugendo, naunga mkono hoja, CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?, nimependekeza asimamishwe EALA!.Ni kijana binti mdogo mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kitaifa na kimataifa,huwezi kumsikiliza usimpongeze vinginevyo uwe na wivu uliopitiliza mno.
Nawasilisha kama kuna mwenye kumfahamu zaidi amwagike.
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani wakiwemo wanawake hawa!.Kuna vitu ukituhumiwa
View attachment 1457498
Yaani vitu kama hivi, hata ukituhumiwa, hata home kwa wife wako inaweza kuleta kesi...
Lakini sio haya magumegume
P
Kuna vitu ukituhumiwa
View attachment 1457498
Yaani vitu kama hivi, hata ukituhumiwa, hata home kwa wife wako inaweza kuleta kesi...
Lakini sio haya magumegume
Je wako wapi hawa kwa sasa?Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani wakiwemo wanawake hawa!.
P.
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hiliView attachment 306576
Wanabodi,
Nilikuwa naangalia bunge kuapishwa kwa waheshimiwa wabunge wapya.
Ilipofika zamu ya Mhe. Upendo Furaha Peneza akiapa, nikamkumbuka Regia Mtema (RIP).
Kwa waumini wa 'life after life' na mambo ya 'reincarnation' mtanielewa!.
Kwa wafuatiliaji wa tanthiliya ya "Part of Me" kwenye Telemundo, tumemshuhudia Tajiri Monica Sorano, kabla ya kukutwa na umauti, alimtafuta mdada masikini Adrriana na bond naye!. Monica alipofariki, Adriana akaibuka na kukamilisha yale yote Monica aliyoyataka!.
Huyu mbunge Mhe. Upendo Furaha Peneza, alikuwa ni mshiriki tuu wa shindano la Maisha Plus. Ikatokea Regia akamuona akaja humu jf kumtafuta kwa bandiko hili
Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus -
[QUOTERegia Mtema]Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.
Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.
Asanete sana.
Duh...!. Kiukweli hapa nilijiandikia tuu na hata baada ya kukutana na Upendo Peneza, kiukweli nilichanganyikiwa kwa mengine ya kibinaadamu nikasahau kuliulizia swali hili!.Asante sana, i am very humbled. Majibu yako ni mazuri sana na yananipa maswali mengi.
Naomba nikuulize kitu kuhusu mwanasiasa anaitwa UPENDO PENEZA. Naamini unamfahamu.
Kwa utambuzi wako, unadhani kwamba mwili wa UPENDO PENEZA unatumiwa na marehemu REGIA MTEMA?
Nauliza swali hili kutokana na uzi wako uliouandika kuhusu hawa watu wawili na nimekuwa nikijiuliza sana kama hichi ndicho ulichomaanisha.
Samahani kama swali langu litakuwa limevuka privacy ya hawa watu wawili. Lengo langu ni kutaka kujua tu kuhusu UWEZEKANO wa hili jambo.
Na kwa jinsi inavyoonekana, kwa mtiririko wa mahusiano ya hawa watu wawili katika kipindi cha mwisho cha uhai wa REGIA MTEMA, nashawishika kuamini kwamba wakati mwingine kunakuwa na MKATABA FULANI WA KIROHO wa mtu kuamua mwenyewe kwa ridhaa yake kumpa mwili wake mtu mwingine? Hii inawezekana?
Kama hivyo ndivyo, ni yapi hasa yanaweza kuwa malipo na masharti ya aina hii ya MKATABA? Ni mkataba halali?
Pasco kama Pasco katika ubora wako. Hakika ulitufanya wengi Tujunga na kufuatilia mijadala ya JF. Hakika wewe ndio RONALDO au GOAT wa JF alafu mchawi mstaafu bro wetu Mshana Jr ndio Lionel Messi wa JF huku GENTAMYCINE yeye ni Sawadogo wa JF na Mpwayungu Village yeye ni hafidh konkon kabisa wa JFππππMkuu Pasco, huyu binti huwa unamzimia toka kitambo.
Mimi nimemfahamu akiwa primary mimi niko chuo TSJ, Ilala Shariff Shamba. Nyumba ya Priva Mtema ni jirani na TSJ.Huyu nlikuwa namjuwa vizuri kabla na hata ya kuwa mb....alikuwa anaishi msasani
Wako twins
Nlikuwa namtaniaga sana kuwa asipende kuliendesha vx lake amazon lile bora awe anamtumia dereva
Pascal Mayalla
Ova
Kuna Watu si tu ni Wapumbavu sana bali pia ni Washamba mno yaani unaanzisha Uzi wa Kujisifia hivi kwa ID yako nyingine halafu mbeleni unakuja kuji Like katika Posta za Wengine kwa kutumia ID yako Zoeleka na Kongwe hapa JamiiForums ukidhani wenye Akili Kubwa na zilizotukuka hatutokujua. Njaa haina Adabu hata ukiwa umesimama Ikulu unauliza Swali.Pasco kama Pasco katika ubora wako. Hakika ulitufanya wengi Tujunga na kufuatilia mijadala ya JF. Hakika wewe ndio RONALDO au GOAT wa JF alafu mchawi mstaafu bro wetu Mshana Jr ndio Lionel Messi wa JF huku GENTAMYCINE yeye ni Sawadogo wa JF na Mpwayungu Village yeye ni hafidh konkon kabisa wa JFππππ
Big upo sana kwako bro. Umetuvutia na kutufanya wengi Tujiunge na JF kipindi hiko cha 2010's.
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hiliView attachment 306576
Wanabodi,
Nilikuwa naangalia bunge kuapishwa kwa waheshimiwa wabunge wapya.
Ilipofika zamu ya Mhe. Upendo Furaha Peneza akiapa, nikamkumbuka Regia Mtema (RIP).
Kwa waumini wa 'life after life' na mambo ya 'reincarnation' mtanielewa!.
Kwa wafuatiliaji wa tanthiliya ya "Part of Me" kwenye Telemundo, tumemshuhudia Tajiri Monica Sorano, kabla ya kukutwa na umauti, alimtafuta mdada masikini Adrriana na bond naye!. Monica alipofariki, Adriana akaibuka na kukamilisha yale yote Monica aliyoyataka!.
Huyu mbunge Mhe. Upendo Furaha Peneza, alikuwa ni mshiriki tuu wa shindano la Maisha Plus. Ikatokea Regia akamuona akaja humu jf kumtafuta kwa bandiko hili Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus
[QUOTE Regia Mtema]Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.
Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.
Asanete sana.
Masikini Chadema...!, lost this Gold in the rough! .Mkuu sweya lugendo, naunga mkono hoja, CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?, nimependekeza huyu binti asimamishwe na Chadema, EALA!. Mnaonaje?
Kwa wasio mfahamu, kumfahamu zaidi na anasimamia nini, karibuni mitaa hii
Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu
Angalia nilipomfahamu, Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
P
- Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
- Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
- Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
- Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
- Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
- Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
- Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
- Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
- Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
- Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
- Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
- Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
- Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!