Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

pale JMall, kule toilet vipo hivo
 
Sitasahau siku nilipoambiwa nifunge kwa maombi baada ya kumaliza kipindi cha sunday school ili tuanze ibada ya kawaida.Kilichotokea najisikia aibu mpaka leo,toka siku hiyo nikawa najichelewesha ili nikute kipindi cha sunday school kimeisha
 
dah we jamaa umenichekesha sana,hukujinyea kweli
 
Nimecheka sanaaa mkuu, pole sna
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pole Sana mkuu! Naona jinsi ulivyopata
 
ULIJAMBA SIO
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hatari
 
Stay positive aliniambia fared qubanda.
 
pole mimi pia nilishaga itiwa mwizi
 
Kuna siku ndo nimetoka kireport kazini kama siku mbili 3 hivi nmebaki ofisini mwenyewe si nikaachia hewa chafu pale mara paap Boss huyu hapa ofisi inanuka balaa hakika nilipata fedhehea ya kufa mtu
Ningekuwa boss wako ningekufukuza kazi Kwa kuharibu mazingira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…