Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Kuna siku nipo Hamad International Airport kule Doha Qatar, Nimeingia toilet nikajihudumia saafi kabisa sasa nimetoka ninawe mikono naona tuu kuna koki za maji ila hakuna cha kufungua ili kuruhusu maji yatoke. Basi nimesimama pale mara nishike hapa, kule, huku sioni hata kibatan cha kubonyeza tuu..... Kumbe muda wote kuna muarabu ananipimia tuu ninavyombwela pale. Akaja kunielekeza kumbe mabomba yanatumia sensor ukisogeza tuu mkono ina activate valve inafungua maji... Jamaa aliondoka anaongea kiarabu hata sikumuelewa huku nikibaki nimetunukiwa fedheha iliyofanya hata safari niione ndefu.
pale JMall, kule toilet vipo hivo
 
Sitasahau siku nilipoambiwa nifunge kwa maombi baada ya kumaliza kipindi cha sunday school ili tuanze ibada ya kawaida.Kilichotokea najisikia aibu mpaka leo,toka siku hiyo nikawa najichelewesha ili nikute kipindi cha sunday school kimeisha
 
Dah kunasiku gari ya mshua ilikodiwa kwenda njombe... Ilibeba wanakwaya wanaenda kweny harusi ya mwwnzao
Sasa kufika kule wakawa kanisani wanasherekea...mim nipk ndan ya gar nimelala daaaaaaaaaaah!!!! NILIJAAMBAAA KWANGUVU KAMA MALA3 AFU KWA UHURU NIKIJUA NIPO PEKEANGU NDANI.... baada ya dk mbili hivi nikashituk kuangalia hiv kuna mmama kakaa pembeni daaaaaaaah!!!!!!
dah we jamaa umenichekesha sana,hukujinyea kweli
 
Nimecheka sanaaa mkuu, pole sna
ilitokea nimekuja dar kwa ndugu yangu aliepanga chumba maeneo ya uswahilini temeke,nyumba ilikua na vijana na mama mwenye watoto wa kike pale,sasa ilitokea siku moja usiku nimeenda kuoga mida ya usiku nikaona sio mbaya nitoe na haja kubwa kabisa,kumbe nimemaliza kujisaidia na maji nimemwaga yalikua machache,asubuh si ndo akaja mwenye zamu kufagia choo akaukatana nayo,kila akimwagia maji mzigo hausogei mbele ikabid aulize tu ni nan alikua wa mwisho si ndo nikatajwa mm..daaahh ilikua fedhea kwa watoto wa kike wale maana mama alikazia neno 'Alf yule kaka ni mwembamba ila ana mavi magumuuuuu' sikumsalimia mpk namaliza likizo naondoka
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Siku moja mama mkwe aliniomba kiasi fulani cha hela mida kama saa sita mchana basi bila kusubiri nikaingia kwenye menu ya mobilebanking nikamtumia, kama sekunde tano nikaona sms ya exim sikutaka hata kusoma nikaacha simu getini kwa mlinzi mana hatuingii na simu kazini kutokana na sensitivity ya process inayofanyika humo ndani. saa kumi jion natoka nakuta missedcalls kibao plus sms "mwanangu ninashida na hiyo pesa nitumie then nitakurudishia!". Nikashangaa hela si nimeshatuma tangia mchana!? Ile kucheki ile sms ya exim kumbe muamala ulifeli,,,, Sikuwahi kufedheheka kama nilivyofedheheka ile siku kwa kuonekana mnyimi japo sikuambiwa hivyo.
Pole Sana mkuu! Naona jinsi ulivyopata
 
Nyingine Karma is Bitch
Kuna siku tupo ghetto tunasoma kuna manzi akaja classmate, mshikaji wetu. Wakati tunadiscuss kuna ka ukimya ka kapita mwanangu Allan akachia cha Yusuphu kile cha sauti kama blake za baiskeki pyuuu. yule demu akamvungia kama hajasikia mimi sasa na sifa zangu mzee baba kimekuponyoka hiko nkashikilia bango, daah jamaa alikuwa mpole tu. Siku nakuja kuumbuka mimi kinaniponyoka mbele ya yule manzi, demu wa mwana, mwana mwenyewe na demu wangu afu wakati wakula ata sijui kiliniponyokaje yani maana hadi leo ile aibu naisikia japo kwa muda ule nlijifanya kama nmedhamilia kuwa kituko ila ndo hivyo tena kishanitoka.
ULIJAMBA SIO
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hatari
Dah kunasiku gari ya mshua ilikodiwa kwenda njombe... Ilibeba wanakwaya wanaenda kweny harusi ya mwwnzao
Sasa kufika kule wakawa kanisani wanasherekea...mim nipk ndan ya gar nimelala daaaaaaaaaaah!!!! NILIJAAMBAAA KWANGUVU KAMA MALA3 AFU KWA UHURU NIKIJUA NIPO PEKEANGU NDANI.... baada ya dk mbili hivi nikashituk kuangalia hiv kuna mmama kakaa pembeni daaaaaaaah!!!!!!
 
Moja kwa moja niende katika mada.

Leo asubuhi kama kawaida yangu kuna mahali huwa naenda kunywa chai, ni mgahawa wa jamaa yangu mmoja wa karibu, nimekunywa chai, nilipomaliza nikaona kuna funguo juu ya meza, ambazo ninafahamu ni za jamaa yangu(Nimeshazitumia mara kadhaa kukatia kucha kwa maana zina nail cutter), nikatumia katika kukata kucha.

Nilipomaliza kukata kucha nilipigiwa simu, nikasogea pembeni kuzungumza na simu, nikazungumza na simu kwa muda mrefu, hivyo sikuona umuhimu wa kurudi pale tena maana nimemaliza kunywa chai, kumbe wakati huo nimesahau funguo zile nimeziweka mfukoni, nilipofika nyumbani nimeendelea na shughuli zangu bila kuelewa chochote wala kukumbuka, nimekuja kupigiwa simu na binti kuwa kumbe zile funguo zinahitajika, ndio nikakumbuka kujisachi najikuta na funguo kuwa ninazo mfukoni, na kumbe si za jamaa yangu, kumpigia simu anasema si zake kweli, ni za binti anayefanya kazi hapo mgahawani, ni kwamba zimefanana, tukio hili limeniachia fedheha na aibu kubwa maana moja kwa moja nimeonekana kama nilikuwa nina hila mbaya, na hakuna yoyote ninayeweza kumueleza akaniamini, imebaki kuniuma mwenyewe rohoni, maana ningehusishwa na wizi.

Katika maisha kuna mambo ambayo yanatukuta kwa bahati mbaya bila sisi kutarajia, hayo mambo huwa yanapelekea aibu na fedheha ambayo haistahili kwa kweli, na hata haielezeki kwa mtu kirahisi.

Kama na wewe una kisa chochote tupe hapa tupate funzo kidogo.
Stay positive aliniambia fared qubanda.
 
Niliwahi kwenda migahawa koko maeneo flani ivi nikakuta contena la kunawia mikono wameweka pembeni na nyumba ya mtu alafu mgahawa wenyewe uko mbali kidogo mi niliponawa nikaingia nyumba iliyokuwa jirani nikidhani ndio mgahawa wenyewe kumbe nimeingia kwenye geto la Mmama flani ivi.

Sasa mda naingia alikuwa bize anakula alafu kageukia upande wapili wala hakusikia vishindo mda naingia kwa akili za kitoto nilipogumdua kuwa nimeingia kusipo nikapata akili ya kutoka kimyakimya tena...! Kumbe mda natoka ndani yule mama akashtuka nikajifanya kuchomoka mule ndani kwa haraka ndio akaniitia mwizi..mwizi...mwizi asee nikajifanya kukimbia nikaishia mikononi mwa wanainchi wenye hasira kali aisee sitakaa nisahau kilichonipata yaani kuna watu bongo hii hata ukiwa unatoa maelezo hawayazingatii wao ni kupiga tu na kutafta petroli.... Hadi leo nikikuta mwizi anapigwa huwa napenda kusikiliza maelezo yake kama yanaleta logic....Maana ningechomwa moto na sijawahi kuiba wala kutapeli cha mtu!
pole mimi pia nilishaga itiwa mwizi
 
Back
Top Bottom