Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Hahahahaaaaa nimecheka kifaraaaaa
Dah kunasiku gari ya mshua ilikodiwa kwenda njombe... Ilibeba wanakwaya wanaenda kweny harusi ya mwwnzao
Sasa kufika kule wakawa kanisani wanasherekea...mim nipk ndan ya gar nimelala daaaaaaaaaaah!!!! NILIJAAMBAAA KWANGUVU KAMA MALA3 AFU KWA UHURU NIKIJUA NIPO PEKEANGU NDANI.... baada ya dk mbili hivi nikashituk kuangalia hiv kuna mmama kakaa pembeni daaaaaaaah!!!!!!
 
Daah mimi ndio nna aibu hadi nshazizoea ila kubwa zaidi kipindi cha nyuma kidogo bado nipo Chuo baada ya kumaliza paper za mwisho mie na mwanangu tukaenda kwa Msuguli, kulikuwa na manzi yangu bimkubwa wake alikuwa kasafiri alishanipanga nikimaliza paper niende yupo yeye na cousin yake tu Mama kasafiri.

Jamaa yangu kipindi hiko ndio alikuwa na ka smartphone me sina afu alikuwa mtu wa sifa sifa yani unaweza kumuita limbukeni.
Kwahiyo zile happy moments zote za mule ndani alikuwa ana shoot yeye.

Nakumbuka tulienda Ijumaa baada ya kumaliza mitihani tukalala Jmosi asubuhi jamaa akaniuliza nipost hii picha me nkajua kuna meme flani tulikuwa tunaangalia tukacheka sana kumbe romantic picha zangu na za yule binti afu kwenye group la chuo. Daaah alinitia aibu sana maana nilikua naendelea bachelor hapo hapo. Nilionekana mtu wa hovyo sana.
Hadi kuja kueleweka ilichukua muda ilibidi nihamie darasa la jioni tu.
 
Nyingine Karma is Bitch
Kuna siku tupo ghetto tunasoma kuna manzi akaja classmate, mshikaji wetu. Wakati tunadiscuss kuna ka ukimya kakapita mwanangu Allan akachia cha Yusuphu kile cha sauti kama blake za baiskeki pyuuu. Yule demu akamvungia kama hajasikia mimi sasa na sifa zangu mzee baba kimekuponyoka hiko nkashikilia bango, daah jamaa alikuwa mpole tu.

Siku nakuja kuumbuka mimi kinaniponyoka mbele ya yule manzi, demu wa mwana, mwana mwenyewe na demu wangu afu wakati wakula ata sijui kiliniponyokaje yani maana hadi leo ile aibu naisikia japo kwa muda ule nlijifanya kama nmedhamilia kuwa kituko ila ndo hivyo tena kishanitoka.
 
Nyingine Karma is Bitch
Kuna siku tupo ghetto tunasoma kuna manzi akaja classmate, mshikaji wetu. Wakati tunadiscuss kuna ka ukimya ka kapita mwanangu Allan akachia cha Yusuphu kile cha sauti kama blake za baiskeki pyuuu. yule demu akamvungia kama hajasikia mimi sasa na sifa zangu mzee baba kimekuponyoka hiko nkashikilia bango, daah jamaa alikuwa mpole tu. Siku nakuja kuumbuka mimi kinaniponyoka mbele ya yule manzi, demu wa mwana, mwana mwenyewe na demu wangu afu wakati wakula ata sijui kiliniponyokaje yani maana hadi leo ile aibu naisikia japo kwa muda ule nlijifanya kama nmedhamilia kuwa kituko ila ndo hivyo tena kishanitoka.
Hahaaa ukadhamiria kubadilisha iwe kituko ukafeli
 
Nilikuwa sijui Kama inaingizwa yote nikawa nagusisha juu juu tu,daa nilitukanwa mpaka leo nikimuona naona aibu,fala weeee unajifanya unajua kumbe hujui lolote mmfyuuuu ,Kama hujui si useme tu nikufundishe ,unajiachia Kama umelalia godoro halafu huna lolote,toka hukooo
 
ilitokea nimekuja dar kwa ndugu yangu aliepanga chumba maeneo ya uswahilini temeke,nyumba ilikua na vijana na mama mwenye watoto wa kike pale,sasa ilitokea siku moja usiku nimeenda kuoga mida ya usiku nikaona sio mbaya nitoe na haja kubwa kabisa,kumbe nimemaliza kujisaidia na maji nimemwaga yalikua machache,asubuh si ndo akaja mwenye zamu kufagia choo akaukatana nayo,kila akimwagia maji mzigo hausogei mbele ikabid aulize tu ni nan alikua wa mwisho si ndo nikatajwa mm..daaahh ilikua fedhea kwa watoto wa kike wale maana mama alikazia neno 'Alf yule kaka ni mwembamba ila ana mavi magumuuuuu' sikumsalimia mpk namaliza likizo naondoka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu kubwa
 
Moja kwa moja niende katika mada.

Leo asubuhi kama kawaida yangu kuna mahali huwa naenda kunywa chai, ni mgahawa wa jamaa yangu mmoja wa karibu, nimekunywa chai, nilipomaliza nikaona kuna funguo juu ya meza, ambazo ninafahamu ni za jamaa yangu(Nimeshazitumia mara kadhaa kukatia kucha kwa maana zina nail cutter), nikatumia katika kukata kucha.

Nilipomaliza kukata kucha nilipigiwa simu, nikasogea pembeni kuzungumza na simu, nikazungumza na simu kwa muda mrefu, hivyo sikuona umuhimu wa kurudi pale tena maana nimemaliza kunywa chai, kumbe wakati huo nimesahau funguo zile nimeziweka mfukoni, nilipofika nyumbani nimeendelea na shughuli zangu bila kuelewa chochote wala kukumbuka, nimekuja kupigiwa simu na binti kuwa kumbe zile funguo zinahitajika, ndio nikakumbuka kujisachi najikuta na funguo kuwa ninazo mfukoni, na kumbe si za jamaa yangu, kumpigia simu anasema si zake kweli, ni za binti anayefanya kazi hapo mgahawani, ni kwamba zimefanana, tukio hili limeniachia fedheha na aibu kubwa maana moja kwa moja nimeonekana kama nilikuwa nina hila mbaya, na hakuna yoyote ninayeweza kumueleza akaniamini, imebaki kuniuma mwenyewe rohoni, maana ningehusishwa na wizi.

Katika maisha kuna mambo ambayo yanatukuta kwa bahati mbaya bila sisi kutarajia, hayo mambo huwa yanapelekea aibu na fedheha ambayo haistahili kwa kweli, na hata haielezeki kwa mtu kirahisi.

Kama na wewe una kisa chochote tupe hapa tupate funzo kidogo.

Kitambo flani nilikuwa na mpenzi mmoja matata sana na uzuri tulikaa mtaa mmoja ila yeye aliajiriwa shirika binafsi na ni karibu na ofisini kwangu.

Binti akawa na tabia akitoka kazini kwake anakuja kunipitia tunakwenda home na gari ya ofisi (serikalini) kwangu. Ambapo ilikuwa ni kawaida coz watu wengi walifanya hivyo hata kwa watoto wao washule pia witumia fursa hiyo kwa kupanda gari za hapo ofisini kurahisisha usafiri.

Mara chache sana Bosi alikuwa anapanda gari za Utawala coz yeye alikuwa na VX lake!! Na gari za utawala zilikuwa cruiser mkonge sita na zilikuwa zinabeba watumishi kwa idara. Idara yangu tulikuwa watatu so gari ilikuwa na nafasi kibao tu.

Kumbe katika hizo mara chache Boss akamuona binti wangu na akamuelewa ila pa kumpatia hana!! So, akawa anabanana nasi kwenye gari ya wasaka tonge na hataki kukaa siti ya mbele ambayo tulikuwa tunamuachia kwa heshima yake (sisi tukajua Boss anapenda sana gari ya idara yetu 😂😂😂 kumbe ana yake)!

Kitendo cha kukaa siti za nyuma na wavuja jasho akafanikiwa kupata contact za binti wangu mrembo na akawa anaimbisha mi bila kujua! Bahati mbaya sana, binti akampa cha mbavu Boss kubwa!!

Bosi akajawa na hasira, akaona njia ya pili baada ya ile ya kwanza kufeli ili kumpata Binti ni kunidhalilisha mbele ya binti ili kunishushia status!

Siku hiyo sina hili wala lile, muda wa kutoka umefika nikasogea garini na mrembo wangu. Kuna staff mwenzangu akachelewa kuja garini dereva akawa anapiga honi asikie aje.

Dereva alipoona jamaa haji akaamua kushuka amfuate ofisini! Lilikuwa kosa kubwa sana!! Aliibuka Boss from nowhere akaanza kunitukana kwanini napiga honi nasumbua na pia si kazi yangu kufanya hivyo!!

Alinitukana sana japo nilijitahidi kumwelewesha kuwa dereva ndiyo kapiga honi hakunielewa! Na kesi zikawa zinahama, zinatoka kwenye honi zinakwenda ofisini zinarudi zinakwenda mtaani zinarudi zinakwenda kwenye umalaya zinarudi huuuuh!!

Dereva akimwambia ni mimi nilipiga honi mkuu, anahamisha kesi inakuja madai ya umalaya mradi matusi na dharau zimtoke!! Niliyakoga siku hiyo sitasahu kabisa!! Dereva akitaka kutoa gari anamwambia ondoa gari langu na wewe nikuonyeshe!!

Nilikaa kimya, nachezea nokia ya tochi zile toleo la kwanza kabisa!! Ilikuwa ndiyo simu hot kabisa kabisa wakati huo!!

Aliporidhika akaondoka zake, garini hakuna mtu aliongea mpaka tunashuka!! Staff zote walitoka nje kuona kunani huko parking!!

Baadae ndiyo Binti ananiambia inawezekana kaamua kufanya hivyo sababu anamtaka kimapenzi, na sms zake akanionyesha!! Pia baada ya kutukana sana akamtumia Binti msg "si ndiyo kibwana chako unachoringia, haya ana nini sasa"

Hii kesi hii kwangu haijaisha kabisa!! Kuna siku akajitusua nikafuma kabrasha analipa vibarua hela ndogo kuliko iliyopitishwa na bodi na kuna allowance alikuwa analipa kidogo kuliko iliyopitishwa kwenye bajeti na bodi kisha inayobaki anapiga!

Nikanyofoa karatasi piga kopi nikamchoma macho makavuu huku anaona!! Kidogo avuliwe ukuu wake kama si kuhonga sana na baada ya hapo nikatafuta ajira kwingine nikasepa!!

Ila bado nikikumbuka naona kama kanidhalilisha jana hivi!! Bado namuwinda, nilimuotea mwanae kwenye harakati flani hivi nikamtosa then nikamwambia kamsalimie baba yako!
 
ilitokea nimekuja dar kwa ndugu yangu aliepanga chumba maeneo ya uswahilini temeke,nyumba ilikua na vijana na mama mwenye watoto wa kike pale,sasa ilitokea siku moja usiku nimeenda kuoga mida ya usiku nikaona sio mbaya nitoe na haja kubwa kabisa,kumbe nimemaliza kujisaidia na maji nimemwaga yalikua machache,asubuh si ndo akaja mwenye zamu kufagia choo akaukatana nayo,kila akimwagia maji mzigo hausogei mbele ikabid aulize tu ni nan alikua wa mwisho si ndo nikatajwa mm..daaahh ilikua fedhea kwa watoto wa kike wale maana mama alikazia neno 'Alf yule kaka ni mwembamba ila ana mavi magumuuuuu' sikumsalimia mpk namaliza likizo naondoka
Ha ha ha ulikula nn [emoji23] sio kwa mzigo huo
 
we boya sana yani unakata mikucha yako na nail cutter za mtu mwingine magonjwa yote haya.

mimi ilinikuta miaka kadhaa iliyopita ndio nimeajiriwa kwenye kampuni flani hapa dar.jioni nimekaa na mabosi zangu kupata wine kidogo na kujuana vizuri.tulikua tumeweka simu zetu mezani,bahati mbaya nikachukua simu ya bosi mmoja nikatia mfukoni nikijua ni yangu .mara kidogo jamaa akaanza kuulizi simu yake mimi nimetulia tu nikiamini iliyopo mfukoni ni yangu .Dah ilivyobipiwa ikaita kwangu halafu hata hawakunipa nafasi ya kujieleza zaidi ya kila mtu kutunza simu yake kwa umakini,nilijisikia fedheha haielezeki

Duh 🤣
 
Kitambo flani nilikuwa na mpenzi mmoja matata sana na uzuri tulikaa mtaa mmoja ila yeye aliajiriwa shirika binafsi na ni karibu na ofisini kwangu.

Binti akawa na tabia akitoka kazini kwake anakuja kunipitia tunakwenda home na gari ya ofisi (serikalini) kwangu. Ambapo ilikuwa ni kawaida coz watu wengi walifanya hivyo hata kwa watoto wao washule pia witumia fursa hiyo kwa kupanda gari za hapo ofisini kurahisisha usafiri.

Mara chache sana Bosi alikuwa anapanda gari za Utawala coz yeye alikuwa na VX lake!! Na gari za utawala zilikuwa cruiser mkonge sita na zilikuwa zinabeba watumishi kwa idara. Idara yangu tulikuwa watatu so gari ilikuwa na nafasi kibao tu.

Kumbe katika hizo mara chache Boss akamuona binti wangu na akamuelewa ila pa kumpatia hana!! So, akawa anabanana nasi kwenye gari ya wasaka tonge na hataki kukaa siti ya mbele ambayo tulikuwa tunamuachia kwa heshima yake (sisi tukajua Boss anapenda sana gari ya idara yetu [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ana yake)!

Kitendo cha kukaa siti za nyuma na wavuja jasho akafanikiwa kupata contact za binti wangu mrembo na akawa anaimbisha mi bila kujua! Bahati mbaya sana, binti akampa cha mbavu Boss kubwa!!

Bosi akajawa na hasira, akaona njia ya pili baada ya ile ya kwanza kufeli ili kumpata Binti ni kunidhalilisha mbele ya binti ili kunishushia status!

Siku hiyo sina hili wala lile, muda wa kutoka umefika nikasogea garini na mrembo wangu. Kuna staff mwenzangu akachelewa kuja garini dereva akawa anapiga honi asikie aje.

Dereva alipoona jamaa haji akaamua kushuka amfuate ofisini! Lilikuwa kosa kubwa sana!! Aliibuka Boss from nowhere akaanza kunitukana kwanini napiga honi nasumbua na pia si kazi yangu kufanya hivyo!!

Alinitukana sana japo nilijitahidi kumwelewesha kuwa dereva ndiyo kapiga honi hakunielewa! Na kesi zikawa zinahama, zinatoka kwenye honi zinakwenda ofisini zinarudi zinakwenda mtaani zinarudi zinakwenda kwenye umalaya zinarudi huuuuh!!

Dereva akimwambia ni mimi nilipiga honi mkuu, anahamisha kesi inakuja madai ya umalaya mradi matusi na dharau zimtoke!! Niliyakoga siku hiyo sitasahu kabisa!! Dereva akitaka kutoa gari anamwambia ondoa gari langu na wewe nikuonyeshe!!

Nilikaa kimya, nachezea nokia ya tochi zile toleo la kwanza kabisa!! Ilikuwa ndiyo simu hot kabisa kabisa wakati huo!!

Aliporidhika akaondoka zake, garini hakuna mtu aliongea mpaka tunashuka!! Staff zote walitoka nje kuona kunani huko parking!!

Baadae ndiyo Binti ananiambia inawezekana kaamua kufanya hivyo sababu anamtaka kimapenzi, na sms zake akanionyesha!! Pia baada ya kutukana sana akamtumia Binti msg "si ndiyo kibwana chako unachoringia, haya ana nini sasa"

Hii kesi hii kwangu haijaisha kabisa!! Kuna siku akajitusua nikafuma kabrasha analipa vibarua hela ndogo kuliko iliyopitishwa na bodi na kuna allowance alikuwa analipa kidogo kuliko iliyopitishwa kwenye bajeti na bodi kisha inayobaki anapiga!

Nikanyofoa karatasi piga kopi nikamchoma macho makavuu huku anaona!! Kidogo avuliwe ukuu wake kama si kuhonga sana na baada ya hapo nikatafuta ajira kwingine nikasepa!!

Ila bado nikikumbuka naona kama kanidhalilisha jana hivi!! Bado namuwinda, nilimuotea mwanae kwenye harakati flani hivi nikamtosa then nikamwambia kamsalimie baba yako!
Hahaa hili bifu umeshinda baharia, gonga meza[emoji1] [emoji1]
 
Bro wangu ameoa sasa.Alikuwa na demu lake lina msambwanda kinyama.Basi lilivyosikia jamaa anaoa alienda kumfanyia fujo home wote tulikuwepo.Likaanza kubwatuka kuwa jamaa kamla ndogo miaka mingi kwa nini amuoi yeye.Tuliona noma sana.Washua wananiuliza kweli?Nikawaambia mkamuulize bro.Noma sana.
Hahaa dah hiyo haifai kabsa
 
Back
Top Bottom