DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Life is truly a Numbers Game
Maisha ni mchezo wa namba
Ukiwa unatafuta fursa Fulani , usiweke uhakika wa kuipata hiyo fursa Kwa mtu mmoja peke yake
Haijalishi huyo mtu ni nani kwako au unafahamiana nae miaka mingapi.
Jaribu kuwa na utamaduni wa kuwatafuta watu wengi kadri ya uwezavyo .
Mfano unatafuta Ajira /Kazi
Usimtafute mtu mmoja jaribu kutuma E-mail Kadri ya uwezavyo.
Kuna kipindi nilipokuwa chuo nilikuwa natafuta part time job ili mambo yaende niliwacheki watu miambili hamsini kupitia normal call ,sms na email.
Ila nilikuja pata Kazi Moja ya kukusanya Data na kuwa team leader baada ya kuamua kumcheki mkufunzi wa chuo kikuu cha Bath UK na kupitia Kazi hii ndo nilipata hela yangu kubwa kwa Mara ya kwanza.
So usiseme watu wamekukazia au hauna connection Ila jaribu kutafuta watu zaidi ,keep striving. Maana mtu mwingine unapomcheki leo akusaidie unakuta kuna aliyemcheki Jana amsaidie So be patient and keep striving.

Good people still exist

Be humble , be positive and always remember to spread positive Energy.