Life is truly a Numbers Game/ Maisha kiukweli ni mchezo wa namba

Be humble , be positive and always remember to spread positive Energy.

Mkuu huku nilipo kwa jinsi navyokaza kutafuta..
Imefikia time wamama wa hapa wanajua mi natumia dawa.

Imagine ndani ya miezi hata mwaka sijafikisha tayari nina ofisi ambayo kuna watu zaidi ya miaka 3 hawajafikisha huko..

Be positive.....
Hii kauli ndio inafanya tutofautiane na matajiri..
Unaweza kuona tajiri ana mawazo ambayo ukiwaza wewe unasema impossible lakini yeye anakua anaona kawaida.

Mfano mimi siku moja nilikua naongea na shangazi. Nikawa namwambia kuhusu biashara yangu but yeye akawa ana comment kwa tofauti kabisa an anaongelea ma deal ya million huko.

Wakati hii biashara kukusanya hizo million sijui shingapi ni impossible.
Ila sasa naona kumbe alikua sahihi..

Kwa sasa nipo positive mno na mara ngingi huwa naomba ushauri na nilichogundua mtu unapoomba ushauri aiseee mambo yako yananyooka sana maana yule aliyetoa ushauri anapoona umefanya vile yeye kashauri huwa ana feeling flan hvi ambayo nahisi kwa namna moja au nyingine inaweza ku push mafanikio. yako.

Spread positive energy
Hii najaribu sana kwa vijana wenzangu nilio wakuta hapa mtaani
Wengine ni degree holders but still enough wanajiona kama ni ma young maana mda wote ni wao na story za mademu.

Ukiwatonya hata wajiunge jf huku kupata madini wenyewe ni tiktok na Instagram.
Mda mwingi huwa natoa mawazo na idea mbali mbali za biashara ila naishia kupata disappointment aiseeee...

Kwa upande wangu ile energy ya kutafuta connection imekua ndogo sana kutokana na tayari nina kitu ambacho kuna watu watanitafuta tu..

Au niseme nimeweka trap ambazo anything happen ni lazima watanitafuta
Natamani unioe hata leo
 
Ndani ya miaka 5-7 tuna expect kuona project yako Netflix
 
Back
Top Bottom