😂😂 Tutafute pesa jamani hizi ni dharau za makusudi kabisa, inzi wanazini kwenye kichwa changu hivi hivi ningejua tunge kufa wote ***** zaoUtasifika kwa uchapakazi ila utaheshimika kwa mafanikio
View attachment 3421489
Hapo wazazi walikuwa wakimtafuta au wakitunga mimba ya Mtoto wa nziUtasifika kwa uchapakazi ila utaheshimika kwa mafanikio
View attachment 3421489
Unakufa hadi siafu kwenye korodaniUtasifika kwa uchapakazi ila utaheshimika kwa mafanikio
View attachment 3421489
Baninyo,,, mamodinyo!!!Mkuu hawa nzi wamezidisha madharau siku hizi yaani heshima imeshuka sana....ila we acha tu.
Cc Monetary doctor Dr am 4 real PhD
Sasa si ni nyuki hao jameni ..sio wazazi wangu hao ..Hapo wazazi walikuwa wakimtafuta au wakitunga mimba ya Mtoto wa nzi